Usipende kudownload applications nje ya Google Play Store. Ingia Play Store download AVG Antivirus ni nzuri ina scan file zote na kukuonyesha yenye virus uiondoe
Hayo ni matangazo ya biashara wanatangaza antivirus zao.Wewe fanya setting yako tu na uiset once a day ikifika muda ulioset in ascan automatically na Kama kuna file lenye tatizo linakuonyesha. Ondoa mashaka.As ante sana mkuu, imekubali vizuri. Lakini bado Luna maneno yanakuja tu yameandikwa your phone is in danger. Joe nifanyeje?
wakuuu samahani techno p5 kwa dar es salaam ni bei gani?
kupakua PDF sio shida shida ni kuifungua hiyo pdf. nenda play store na download adobe reader. hapo umemaliza..
kuhusu documents za word na excel, download QUICK OFFICE playstore...
Ni Laki 2, mpaka laki na 90
ymollel, Ilisolokobwe na wadau wengine wa Tecno P5 humu Jf naomba anayefahamu anifahamishe Application kwa App Store inayoweza kufungua Attachment baada kuidownlaod kwenye SD card mfano attachment za humu JF niki-save wakati nikiifungua kutoka SD card inacomand file format unsupported.
bila shaka attachment inayokusumbua ni ZIP files, Cha kufanya nenda play store na Download WINRAR for android, hiyo ita solve matatizo yote ya ZIP files.
Kuhusu attachment za PDF , Download ADOBE READER android.
Kuhusu word,excel files download QUICK OFFICE.
ymollel Asante nimeinstall RAR For Android na kila kitu kimeenda vizuri.
Habari wakuu, nawezaje kutumia WhatsApp line ya pili kwenye simu ya TECNO P5 . Nina line ya tigo na voda. Nikiunga voda tigo haipatikani whatsapp na kinyume chake.
Naomba mwenye kuelewa asaidie
Disagree to Agree with me ila ukweli ni kwamba TECNO ambazo ni majanga pasua kichwa ni zile series ya Chini P3 na N3 ambazo nimetumia hivo nina experience nazo...
N3 ndo ilianza sokoni nikaikimbilia ila hii simu pamoja na kuuzwa bei kubwa 140-160,000/= ni mara mia kununua vile vi galaxy pocket maana Raha ya simu ya Android ni ku-install apps na games(kama ni mpenzi) utakavyo sasa haya matoy ya simu P3 na N3 yaani ulikua uki-install apps tano ujue imekula kwako ...kina piga kelele sijui "Insufficient Memory" sasa huu si ukuku-ng'ombe?
Yaani sehemu wanazo Bug hawa jamaa ni kwenye RAM na ROM kabisa na wapatia 0%...
Niliamua Tecno P3 yangu niliyotumia ya mwisho niwape wanangu wachezee maana ilifikia kipindi uki-install apps uka restart hauzikuti
Ki ukweli kama wewe una aspire kuwa Android Super user Tecno haifai kabisa...
Ku-root kwenye shida tupu na ndo ukitaka kuweka Custom ROM ndo utaangaika na google mpaka uchoke...
why Tecno is meant for AFRICA?
jibu ni "very poor material correlating to our economy"
Good day friends