Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,318
- 766
Wanna JF kwa waliotumia au wanaotumia simu ya Tecno P5 kuna tatizo nimekumbana nalo ,Mimi huwa nina Betri ya akiba nimeinunua mara ya kwanza inapoisha ninapobadilisha na kuwasha simu inawaka kwa muda mfupi halafu inatulia tu yaani ukigusa screen hakuna kufungaka halafu inajizima lakini haizimiki moja kwa moja neno Tecno inabaki kwenye screen hadi utoe betri. hali hii hujurudiarudia mpaka inakera. Haya yamejitokeza tangu jana. Naomba anayefahamu anisaidie