PRISCUS JR
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 448
- 236
Nimetoa challenge piga picha ya gallax yako uweke hapa na utumie built in camera and app yake ndo utajua nini namaanisha. Nimpa mtihani mtu alikubali
Twende kazi mi nimegusa kipengere cha picha tu bado internet speed Wi Fi usipime
mkuu hivi tecno inategenezwa nchi gani
mimi natumia hiyo badilisha memory card imepata virus tatizo limekwisha mkuu
vp kuhusu kupakua pdf document inskuwaje wakuu kwakutumia tecno p5
Ingia kwenye website ya Tecno utapata specifications za simu zao zote!mimi nitaangalia specification hasa kwa gsm arena ambapo tecno haipo
Ingia kwenye website ya Tecno utapata specifications za simu zao zote!
vp kuhusu kupakua pdf document inskuwaje wakuu kwakutumia tecno p5
mimi nitaangalia specification hasa kwa gsm arena ambapo tecno haipo
umekosea sana kuangalia ubora wa simu kupitia GSM Arena, ni sawa kuwauliza Vodacom Ubora wa Airtel.
Sifa za Kifaa cha ICT/computer/mobile ni kama zifuatazoa;
- RAM
- CPU speed
- storage (internal storage)
- Display
- camera
- battery/power consuption
- sound
- accessories (ear phone)
- mobility
price should be optimal.
mtu ananunua bei juuuuuu, simu ina RAM 256MB, na internal storage ya 300MB.... Na anaponda tecno ambayo inakupa uwezo wa kufanya baadhi ya mambo ambayo simu zingine haziwezi bila Rooting, kwa mfano ku-Install app kwenye memory card.
mbona hujataja screen type mfano tft cha simu za tecno ambazo ni kiwango cha chini sana na hazina gharama
Angalia picha hapa sasa ndio ujue hata hao wa majina makubwa wanatumia TFT tena, ni ile ile.
GAlaxy ace yenye CPU ya ARM 832 MHz, RAM below 512, na internal storege ya 158MB. inauzwa karibu TSH 300,000/=
wakati tecno yenye zaidi ya hayo yote ni shilingi TSHS 150,000/= ( cpu mediatek 1GHx/ 1.3GHz or dual core, RAM 512MB or 1GB, Internal storage 2GB to 4GB) kwa 160,000/= au 150,000/=
View attachment 153593
hapo kweli umenifumbua macho ila si s4 ninayotumia.
safi sijui wanaoibeza tecno wanavigezo vipi?