Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Ha ha ha povu la nini?
Tena nyie wakali hivi ndio huwa wazuri sana kuwafanya small house na gharama zenu huwa ni Castle light tu.

Sijui wanawake wakoje, walopnda wote huwa ni wakali kweli wakiulizwa mambo ya mahusiano hadharani hadi umuweke kona.

Naona hata hapa jf no exception trend ni ile ile.
Niliwahi fanya research wanawake waliokuwa na wapenzi zaidi ya 2 at per waote hawakusema ukweli kwenye Face to face interview, walikuja sema ukweli kwenue dodoso walizokuwa wanajaza wenyewe kwenye chumba peke yake.

Wavulana walisema hata kama anao 100, kote dodoso zake zote zilifananana.

Some women are fakest creature ever kila mtu anataka aonekane geti kali hata wa kwa mtogole

.

Jambo la kwanza mimi si mwanamke, tena ushike adabu yako. La pili hata kuwa kwako mwanaume sio certificate ya kufanya umalaya unless hujiamini. Mimi ni mwanaume mwenye majukumu na nikumegee siri, nilipomuoa mke wangu alikuwa mshamba kiasi chake. Lkn hiyo haikuwa kesi ya kunifanya nitoke nje ya ndoa yangu. Haiuhitaji kuwa na wapenzi wengi kudhihirisha umahiri wako ktk mapenzi, sasa sana unaonesha jinsi usivyo na uwezo wa kutengeneza badala yake unarukia kila unapoona kuna afadhali.

Kama una balehe, basi ni kipindi wazazi au walezi wako wanatakiwa wakuangalie kwa karibu kwani akili za muda huo zinakupelekea uamini uanaume wako unaonekana kwa ngono, na kwa hali ilivyo utakufa soon. Kwa kifupi, akili zako na hawa wanawake wanaojiuza hapa hazitofautiani hata kidogo.

Acha nikueleze: Huyu alieanzisha mada na wenzake wanaoishabikia, wanajiuza. Anafahamu kuna wanaume wasiojua hata kutongoza kwa hiyo wakiona kuna mwanamke mwepesi dizain yao lzm atashawishika kuwa-PM na hapo wataanza biashara ya kuuza miili yao humu. In short they are just displaying to this forum how cheap they are so that you should feel ease to approach them.

Wanaume tunaojiamini hatuambatani na cheap craps wa namna hii ya kujitangaza kuwa wanagawa. There is no manly satisfaction to make love to a prostitute, only sex pays.
 
Eiyer, usiogope, this is life, true life. Unaweza kuta unayetaka kumuoa alikuwa small house wa mtu.
albeit hakuna hata mwanamke mmoja atayekuambia aliwahi kuwa small house lakini ndo ukweli.
Huna haja na kuwa na phobia ya ukweli, hata hao waloolewa ni nyumba ndogo za wanaume wengine walooa.

Kila siku hapa wanaule wanalalama usimchunguze mkeo hutamla, why? Akili kumkichwa ukizubaa wanakuuzia bahari

Whaaaaaat!Khaaaaa!Amakweli sisi ambao hatujaoa kazi tunayo,tunashindana tena na ambao wameshaoa!
 
Cheka unenepe mamaa! Umesahau yale makusudi yako ukiona jamaa yuko juu juu kama break ya fire? Unatoa neno moja tu, anakua mpole! Ananuna hapo kwenye kochi ww unajichekea tu na kufurahia maisha. Kua small house nadhani inabidi iwe purely business,kesho akihamia genge la jirani hukasiriki supermarket yako kaitosa! Ngoja nianze visa na mie hapa,kha!
Hahahaaahaaa! Mke mwenza hapa nimecheka kwa loud spika...dah!
 
Ukilaza ni relative term, wangapi wametoka vyuo na GPA hiha afu mtaani wanakula tembele kwa kwenda mbele na wapo waliotoka na degree za pass lakini sasa hivi wanapeta kitaa safi.

Naweza kuwa kilaza wa mahusiano afu kipanga wa uchumi, ha ha ha ha

umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao
 
Asante, you have nailed it.
Kwa mlooa, kuweni makini na wake zenu wawapo wajawazito, ukiona anakimbilia option ya C-zar kabla hata daktari hajasema Beware, dont say we didnt warn you

Nendeni mahospital wanakojifungua hao wanawake, full kujazwa minanii hiko back ili waweze jifungua sababu ya tigo.
Wajanja siku hizi wanaomba oparation mapema, anajidai yeye mwoga cant stand the pain, wapi, wizi mtupu

wengine mnaoa mkidhani vigori, kumbe ni akina mama walioamua kuterminate uhai wa watoto wao, afu leo hapa wanajidai hawawezi hawawezi, cammoni I respect NE at least kasema ukweli

Mbona hata hao ma wife zenu wanatoa sana tu tigo ni kwamba tu nyie ze husband ndio hampewi.
 
Cheka unenepe mamaa! Umesahau yale makusudi yako ukiona jamaa yuko juu juu kama break ya fire? Unatoa neno moja tu, anakua mpole! Ananuna hapo kwenye kochi ww unajichekea tu na kufurahia maisha. Kua small house nadhani inabidi iwe purely business,kesho akihamia genge la jirani hukasiriki supermarket yako kaitosa! Ngoja nianze visa na mie hapa,kha!
Lol, yaani hapa niko busy kwa vicheko, post zako na kongosho mie hoiiiii! Nahisi nimeongezeka kg5 kwa leo tu!

Usianze visa mke mwenza manake ukitolewa nje mie sina chumba cha kukulaza. Afu unaelewa fika leo ni jumapili huna ruhusa ya kumpigia wala kumtext yule mume wa mtu, he he he leo si yuko karibu na my wife wake???
 
astakafurulahh! Wameiba password yangu, walimwengu wabaya wanataka kutugombanisha, uzuri niko naye hapa kaniona mda wote nilikuwa namsinga sasa haya mambo nimeyaandika saa ngapi.

Ha ha ha, leo nimemwambalia firigizi rost na chapati za maji
huyu mlango nimeacha wazi na yeye ameanza kusema ntakuua nikimwambia kuondoka

Hivi ww bibie, haya ndo malezi unayompa mateka wako? Sio atakata kamba sasa? Karibu supu ya utumbo wa mbuzi wa kuchoma, leo ni leo! Nyuma ndogo mtamsikia manake funguo nnazo kibindoni!
 
Point of correction, mimi ni SHEMALE, 2 in 1

halafu kama unajua nabalehe niache niende na swaga za kubalehe, unataka niruke stage? Afu nije nibehave hivi at 40's!

Kuhusu kufa, no comment maana hiyo ni njia yetu sote.

Unajuaje kama na mie sio domo zege natafuta hao craps ili ni wa PM? Usipende ku-assume

Ha ha ha, wanaume wanaojiamini wala hawajachangia kabisa hii thread, just observe ni wale wenye low self esteem wanaotaka ku-feed their ego kwa mapungufu ya hawa craps.
You are too manual when you are on stage, ntaku-PM back stage utakuwa soft.

Wakati unamdekeza huyo wako wenzio twamla kule unakokuhofia, pole ndo maisha

Kama una balehe, basi

utakufa soon.

Wanaume tunaojiamini hatuambatani na cheap craps[/B]
 
Jambo la kwanza mimi si mwanamke, tena ushike adabu yako. La pili hata kuwa kwako mwanaume sio certificate ya kufanya umalaya unless hujiamini. Mimi ni mwanaume mwenye majukumu na nikumegee siri, nilipomuoa mke wangu alikuwa mshamba kiasi chake. Lkn hiyo haikuwa kesi ya kunifanya nitoke nje ya ndoa yangu. Haiuhitaji kuwa na wapenzi wengi kudhihirisha umahiri wako ktk mapenzi, sasa sana unaonesha jinsi usivyo na uwezo wa kutengeneza badala yake unarukia kila unapoona kuna afadhali.

Kama una balehe, basi ni kipindi wazazi au walezi wako wanatakiwa wakuangalie kwa karibu kwani akili za muda huo zinakupelekea uamini uanaume wako unaonekana kwa ngono, na kwa hali ilivyo utakufa soon. Kwa kifupi, akili zako na hawa wanawake wanaojiuza hapa hazitofautiani hata kidogo.

Acha nikueleze: Huyu alieanzisha mada na wenzake wanaoishabikia, wanajiuza. Anafahamu kuna wanaume wasiojua hata kutongoza kwa hiyo wakiona kuna mwanamke mwepesi dizain yao lzm atashawishika kuwa-PM na hapo wataanza biashara ya kuuza miili yao humu. In short they are just displaying to this forum how cheap they are so that you should feel ease to approach them.

Wanaume tunaojiamini hatuambatani na cheap craps wa namna hii ya kujitangaza kuwa wanagawa. There is no manly satisfaction to make love to a prostitute, only sex pays.

wanaume wote wangekuwa hivi,sipati picha
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Haka kaneno mashauzi nilikuwa nakasikia lakini sikuwa najuwa maana yake. Kumbe mashauzi ndiyo hayo uliyoorodhesha hapo!!!. Sasa mimi naomba unipe maelezo kidogo. Kinachokuudhi hapo ni nini hasa?

Je ni hizo taarifa za huyo jamaa kuhusu mke wake au ni uchungu unaotokana na wivu wa kwa nini huyo mwizi wako anamjali mke wake?
 
Mmh, ingekuwa ni ma low thinkers tu wanafikiri ukimwi ni ajali rate ya maambukizi ingekuwa imepungua.

Ni watu wangapi wenye uelewa wa mambo wanakufa na UKimwi?
Be real and true to yourself, utaona hata kama hatukiri kwa kinywa ila matendo yetu yanasema

Mh kumbe hata great thinkers kama wa jf wanaweza kuwa na mtazamo kama huu kuhusu HIV?Una fananisha na ajali ya gari?
 
Mkemwenza, yaani visa namfanyia kakake ashadii asinyanyue mguu hapa. Saa hizi naumwa ujue,inabidi anipikie the! Kongosho leo kaliwa! Mie mume wa mtu simuwezi manake I'm a possessive bitch! Na kongosho akiwa na kakake ashadii ndo ujue nikipiga simu lazma apokee hata kama anashughulika, na anaanza kwa kujisemesha 'napanda ngazi, sema mpenzi wangu' ndo maana kongosho analalamika hehehe!
Lol, yaani hapa niko busy kwa vicheko, post zako na kongosho mie hoiiiii! Nahisi nimeongezeka kg5 kwa leo tu!

Usianze visa mke mwenza manake ukitolewa nje mie sina chumba cha kukulaza. Afu unaelewa fika leo ni jumapili huna ruhusa ya kumpigia wala kumtext yule mume wa mtu, he he he leo si yuko karibu na my wife wake???
 
@ king'asti, huyo kaka ake Ashadii namsamehe maana mateka wangu ntamuua kwa kiharusi.
Keshaanza kuwa na miwivu, sasa hizi analilia kunibeba mgongoni anipeleke koko bichi kwa mguu kutokea Kimara, eti kwa gari is not romantic.
Dunia ina mambo, kabeba na mwamvuli.
 
Mkemwenza, yaani visa namfanyia kakake ashadii asinyanyue mguu hapa. Saa hizi naumwa ujue,inabidi anipikie the! Kongosho leo kaliwa! Mie mume wa mtu simuwezi manake I'm a possessive bitch! Na kongosho akiwa na kakake ashadii ndo ujue nikipiga simu lazma apokee hata kama anashughulika, na anaanza kwa kujisemesha 'napanda ngazi, sema mpenzi wangu' ndo maana kongosho analalamika hehehe!
Tehe! Mke mwenza kama ni visa vya kihivyo ruksaaa!..mie pia nimevianza tokea jana na hivi kakake ashadii anamalizia kumenya ndizi, nyama bado hajabandika(ntakutumia kwa PM zikiwiva lol) kongosho leo analo asee manaka hatumpi nafasi....afu mke mwenza nikutahadharishe kwa afya yako, siku unampgia kakake ashadii simu afu anaanza na swaga za niambie mpenzi, sema switie wangu, STUKA! Hapo ujue yupo kwa kongosho anachomewa udi...lol.
 
Back
Top Bottom