Kwa wale tunaotembea na waume za watu

At least NE umekua na courage ya kuongea. Manake wanaume wote wanaosifia infidelity,sijui huwa wanafanya na nani? Ama wanafanya na wake za watu tu? Kupanga ni kuchagua mamaa,hongera sana. Japo unajizibia baraka zao ila maadam faithful keshasema unakua nao 5,natumaini kuna walau mmoja ambae yuko single mwenye uwezekano wa kumilikishwa.
Mh sana, The Boss originale, high time u edited ur copyrighted sheria za infidelity. Muwe mnawaconsider watoto wa watu banaa,walau msisifie wake zenu na kuongelea dinner and shopping treats.

King'asti watano ni hatari kwa afya,hapa unaweza kuwa unajihurumia mwenyewe:A S-coffee:
 
Nakupongeza kwa kuwa wazi,kuficha ni ujinga.Swali kwako,how do u justify that?Unajisikiaje raha kufanya jambo ambalo liko kinyume kabisa na ubinadamu na jamii pia?Kama kweli haujisikii kinyume moyoni utakua una matatizo yanayohitaji ushauri.Mimi kama mwanaume naendelea kuwashangaa sana mabint,japokuwa natakiwa nichague mmoja kati yenu aje awe mke wangu,ninajiuliza maswali mengi sana ambayo majibu yake sina na sijui nitayapata wapi!
 
1. Sio wote wasemao Bwana Bwana watauona Ufalme wa mbingu.
2. Is not true waliooa wana wanawake zaidi y wake zao? Hapa tulitaka tusikie ukweli, kusema kuwa sijui nini zetu zishatumika hayo ni mawazo yako na nayaheshimu, na ogopa watu wanaopenda kijionesha as Saints mbele za watu, bora mie am the devil you know.

hawa ni wapuuzi kabisa,nyambafu zao,vinega wakubwa. Papaa Msoffe ana kauli moja ''huwezi kunipatia kitu ambacho mke wangu nimemwacha nacho na ndicho anachonipatia, hivyo nipe kitu tofauti na ninachopata kwa wife'' means mpe mtandao wa tigo. Nyumba ndogo nyingi zinaliwa tigo,so NE na Kongosho nina wasiwasi saaana na usalama wa mitandao yenu ya ........
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Na wewe umemkubali wa nini wakati ulijua ni mme wa mtuuuu??? Na wewe ukomeeeeeeeeeeee!
 
hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana

Na ipo siku huu ukawaida utakufikisha sehemu ukute unakazwa na mwanaume wa mama yako mzazi. Kwa ukweli sijui mnatania au mko na hii biashara ya miili yenu seriously. Kama ni utani, basi acheni utani mchafu namna hii na kama mnafanya kweli basi hata basi nyinyi ni mfano wa choo cha jiji. Kwa msichana/mwanamke kutembea na mume wa mtu ni dalili ya kujidharau. Sioni tofauti ya mtu wa namna hiyo na Nguruwe au mbuzi ambaye hupandwa wakati wowote na dume lolote, hata alilolizaa mwenyewe. Tutumie akili zetu kufanya mambo ya maana na kamwe tusiridhike akili zetu zikae kwenye sehemu za siri huku kichwa kikiwa na kazi ya kupakwa lipstick tu.

Maeneo yenu ya uzazi msiyafanye dust-bin kwa kila mwenye uchafu wake kutupia humo. Hivi nyinyi mnaoshabikia haya, MNA WAZAZI au mmezaliwa bar? Kule Nigeria wa-Ibo wana jina zuri kwa watu wa ajabu ajabu dizain yenu='excrement of the clan'

NAKEMEA VIKALI
 
hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana

Why are u doing this?Where is your justificatin?Hivi umeshajiuliza sababu ya wewe kufanya hivyo?Je ni sex,fedha au nini?Hebu jiulize kama huwezi kuyapata hayo kivingine.Plz dont tell me u love him coz i knw u don't!
 
1. Sio wote wasemao Bwana Bwana watauona Ufalme wa mbingu.
2. Is not true waliooa wana wanawake zaidi y wake zao? Hapa tulitaka tusikie ukweli, kusema kuwa sijui nini zetu zishatumika hayo ni mawazo yako na nayaheshimu, na ogopa watu wanaopenda kijionesha as Saints mbele za watu, bora mie am the devil you know.

Whaaaaaat!Khaaaaa!Amakweli sisi ambao hatujaoa kazi tunayo,tunashindana tena na ambao wameshaoa!
 
hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
Serikali iache kugharamia dawa,ili watu wenye mtazamo kama wako mpukutike kama njugu,We really differ,keep it up!
 
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.

Usisahau cha mtu mavi

Mimi nafikiri hata nyie waume zetu mnatumika; tena kama TPaper za blue. Maana mnapangwa huyu ni ATM, huyu ni wakunifikisha, huyu ni for my carrier na huyu ni wa safari za nje!

Guys, stop thinking kuwa wanawake siku zote ni victims au receipient tu; they do have missions na stratedgies na nyie ni one of those strategies za kufikia wanachotaka. Tena kuprove how smart they r, wanawafanya nyie mjione kuwa mnalead game!

Na kwetu sisi (married na semi married women); si goal ya kila mwanamke kuwa na jina linaloanza na Mrs, hivyo kwa ya kwetu kuanza na Mrs sio kuwa ni bora zaidi ya wengine. Some of us get far little sex, care, matumizi, even love kuliko hizo nyumba ndogo. Kupondana humu (jf) haisaidii sana. Kila case ni specific na njia ya kutatua shida za infedality zina vary pia!

N.B by semi married namaanisha wale ambao kwa namna fulani tupo mbali na wenzi wetu (kazi, masomo etc)
 
Nimem-quote 'faithful' hapo. Lakini kwa akili ya haraka ni muhimu ili waweze ku-cope na stress. Manake si unajua mke akiweka mguu chini, ama mtoto akiumwa huko kwenye small house inakula kwake? Sasa pata picha mtoto wa watu kaandaa kiwalo na hisia kua walau leo mume wa mtu anamtoa kaouting ka kuvizia afu anapata sms 'can't make it. Will call kesho', nadhani atahitaji mtu haraka wa kuweka akili sawa. Hapo unakuta huruhusiwi kupiga wala kujibu msg! Unaweza rukia dressing table hehehe! Kaazi kweli!
King'asti watano ni hatari kwa afya,hapa unaweza kuwa unajihurumia mwenyewe:A S-coffee:
 
Kwanza nimesikia hao wanaopenda nyumba ndogo wanazitumi kama sehemu za kufanya mambo ambayo hawawezi kuwafanyia mke wake mathalani ufiraji.
Kwa mantiki hiyo nyuma ndogo nyingi aidha wameingia katika mabishano makali juu ya mambo haya na baadae kwa shingo upande kuishia kufanyiwa usodoma kwa kuendekeza misaada ambayo si lazima ukitoe utu wako.
Na uzoefu unaonyesha wanaume wanakuwa wapo makini sana na nyumba ndogo kwa kuwa wanaingia gharama kubwa sana.
 
Utegemez unawaumiza galz

Nani kasema anaumia? Nini kinachomuumiza kududu chako? Kama ni magonjwa wewe hupati? Tena mbaya zaidi humpelekei mkeo na watoto watarajiwa? Na mwisho wa hiyo nusu saa au saa nzima nani anaondoka na -$ na nani anabaki na ++++$€£¥ kama alitumia 4 hrs zake tu the maximum?

IMO wanaume r more victims than wanawake!
 
Nyumba ndogo watu wanafata tigo.kwani k ni kwa wife so msishabikie watu wote wa nyumba ndogo wanatundiliwa malinda ya tigo. A.k.a mabataa! So poleni sana mabata praaaaah!
 
Hili ni suala la msingi sana. Hivi kama mawazo yote yapo kwenye ujira, hawa wadada wanaweza kuwa na mandate ya kutumia kinga? What if huyo mume wa mtu akigoma kutumia kinga?
Ukimwi je?haugopi,au ndo ajari kazini?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom