Kwa wale tunaotembea na waume za watu

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
hahahaha gud point...nakubaliana na wewe kabisa hapo!!! kama wampenda sana huyo mkewe sii ungekaa nae
 
  • Thanks
Reactions: ram
Tafuta wako bwana, kwanza ni lazima uwe na mume wa mtu????
Hivi unajisikiaje kuwa na mume wa mtu, halafu mnafanya mapenzi kwa kujiiba iba???

Mungu aniepushe kwa hili!
 
Nawe ukome kukazwa na waume za watu. Siku ukifumaniwa, utajuta kuzwali na hicho kidude.
 
Tafuta wako bwana, kwanza ni lazima uwe na mume wa mtu????
Hivi unajisikiaje kuwa na mume wa mtu, halafu mnafanya mapenzi kwa kujiiba iba???

Mungu aniepushe kwa hili!

nami pia nakuongezea dua zangu ziungane na zako. Mungu akubariki.
 
Tafuta wako bwana, kwanza ni lazima uwe na mume wa mtu????
Hivi unajisikiaje kuwa na mume wa mtu, halafu mnafanya mapenzi kwa kujiiba iba???

Mungu aniepushe kwa hili!

Naomba kujua jinsia yako
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom