FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
At least NE umekua na courage ya kuongea. Manake wanaume wote wanaosifia infidelity,sijui huwa wanafanya na nani? Ama wanafanya na wake za watu tu? Kupanga ni kuchagua mamaa,hongera sana. Japo unajizibia baraka zao ila maadam faithful keshasema unakua nao 5,natumaini kuna walau mmoja ambae yuko single mwenye uwezekano wa kumilikishwa.
Mh sana, The Boss originale, high time u edited ur copyrighted sheria za infidelity. Muwe mnawaconsider watoto wa watu banaa,walau msisifie wake zenu na kuongelea dinner and shopping treats.
King'asti watano ni hatari kwa afya,hapa unaweza kuwa unajihurumia mwenyewe:A S-coffee: