SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 458
Article 20(1)(b).Amesema kwa sababu ni "tunu ya Taifa."
Sababu za Muungano za kijinga jingaaa! Tunu ya Taifa ni madini yanayochimbwa na Barrick bure na twiga wanaotoroshwa na ndege.
Unaruhusiwa kuuongelea muungano, kwa mfano kuwa na serikali tatu au moja, au mbili kama zilivyo.
Ila chama chochote cha siasa hakiruhusiwi kushawishi watu kuuvunja muungano.