Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,042
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA. CCM ya Kikwete ilianzisha Mchakato kwa kaunda Tume ya Warioba Tume iliyozunguka Nchi nzima kukusanya Maoni na Mapendekezo Tume iliyotoa Elimu ya Katiba kwa Kugawa Nakala za Katiba iliyopo na Vipeperushi.
CCM ya Magufuli hii ni moja ya CCM MBOVU kabisa licha ya Ilani yake ya Uchaguzi kuwa Itaendeleza ilipoishia CCM ya KIKWETE CCM ya Magufuli haikutaka kabisa Kuwapitia Watanzania KATIBA MPYA kwani ilisema KATIBA MPYA sio Kipau Mbele chake na Haina Bajeti yake licha ya Wananchi Kulipa Kodi lukuki.
Baada ya Rais Magufuli Kufariki katikati ya Utawala wake Makamu wake ambaye wakati wa CCM KIKWETE alikuwa Makamu wa Bunge la Katiba na ambaye CCM Magufuli ktk ilani yake yeye akiwa Mgombea Mwenza walituahudi kuwa Wataendeleza Mchakato wa Katiba Mpya pale ilipoishia CCM Kikwete lakini ndio hao ambao walisema sio Kipau Mbele wala hawana Bajeti yake CCM Samia ikashika Uongozi na Mama akawa RAIS.
Wananchi tulijawa na Matumaini ya kupatiwa KATIBA MPYA hasa tukiamini kuwa Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba tulipoishia Anapajua vizuri.
Pia ahadi ya Ilani ya Ccm aliyoisema wakati anaomba kura na Magufuli ataamua kuitekeleza na pia yeye mwenyewe kujitengenezea Legacy ya kuwa Rais Mwanamke ameweza kuwapatia Wananchi KATIBA MPYA.
Matumaini hayo yamepotea kwani CCM Samia imeingia na mapya zaidi ya kujifanya Kama ndio kwanza Wananchi wanataka Katiba Mpya wakati wa Utawala wake kwani CCM Samia inataka Mchakato wa Katiba mpya uanze Upya kwa Kukusanya Maoni na Wananchi kupewa Elimu ya Katiba mambo ambayo CCM ya Kikwete chini ya Tume ya Warioba yalifanyika mpaka Bunge la Katiba liliundwa na Mama Samia akawa Makamu Mwenyekiti wa Hilo Bunge.
Binafsi sina Imani na CCM ya SAMIA ya kuwapatia Katiba Mpya watanzania kwa Kurudisha Nyuma huu mchakato wa Katiba Mpya kutoka pale ilipoishia CCM Kikwete na kutaka Mchakato uanze upya.