Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Hakika ni wakati wa sasa ndio haswa ni wakati mwafaka kabisa kwa wananchi kuelewa kila chama cha siasa na nini kinachosimamia - kuchumia tumbo au kusikiliz na kulinda maslahi ya umma.
Kule Arusha madiwani wachumia tumbo walionekana jinsi walivyoangukia kitako na hivyo vivyo ndivyo vyama vya kisiasa na viongozi vigeugeu watakavyosababisha vyama vya kuangukia kitako kwenye chaguzi zijazo endapo mheshimiwa mpigakura atageuzwa ABIRIA kwenye shughuli ambalo haswa yeye ndiye anpashwa kuwa DEREVA.