kwa nini msafara wa chadema kwenda Ikulu haukuwa na mwakilishi mwanamke

labda wameona mchango wao bungeni unatosha huku kwengine wazee watamaliza
 
Tuhukumu kwa kuangalia content zilizowasilishwa na siyo mtu.

nimeangalia posts zote sijaona post ikihukumu!! Achilia mbali,inayomuongelea mtu personally. Wote wamejadili contents... Ila tatizo ni moja... Wanasema, Roses and Truth have thorns about them....!
 
Back
Top Bottom