Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
View attachment 46197
Mama Porojo umenikumbusha mbali sana jinsi jamaa walivyoingia kwa mbwembwe siku hiyo.
Mama Porojo umenikumbusha mbali sana jinsi jamaa walivyoingia kwa mbwembwe siku hiyo.
Binafsi sioni tatizo kwenye hilo...... Kwangu hakuna ubaguzi mkubwa kama kuwaza umwanaume na umwanamke. Unapowaza kwamba CHADEMA walienda Ikulu kuonana na raisi unakuwa Objective. Ukishawaza wanaume wa chadema walienda ikulu kuonana na raisi ni dalili za kuanza kuwa subjective. na huo ndo ubaguzi
Kwa sisi akina mama porojo, tuli-mind sana siku tulipoona hakuna mwanamke hata mmoja katika safari ya chadema kwenda kuonana na Rais kikwete Ikulu. Dunia inapita katika kipindi cha kupunguza nguvu ya mfumo dume na kuwapa fursa akina mama. sitaki kuamini kwamba chadema walishindwa kumchomeka japo mama mmoja tu (mwenye weredi kichwani) kuongozana na akina baba wale. Hakina niliumia sana.
Upande wa CCM katika mazungumzo hayo japo kwa picha za Ikulu katika vyombo vya habari niliwaona Celini Kombani, Tatu Nuru na Prem Kibanga.
mawazo ya kichwa nazi na kazi za kichwa nazi ni porojo na porojo zinaongelewa sokoni.
kwani lazima kuwepo mwanamke? Hii nchi imedorora kutokana na wanawake wengi kupewa madaraka,.an average man is 100 times better than an average woman
Regia Mtema wakati ule alikuwa hai wangemtumia
jiunge rasmi na cdm ulete mabadiliko unayotaka kwa kuongeza nguvu na kukijenga chama hadi upate nafasi za juu za chama then utapata fursa ya kutalii kule mjengoni.usiwe tu mlalamishi kwani walioenda kule c kwa kutalii ila vichwa vyao vina mambo mazito na yenye uendelevu.ahsante karibu cdm
mawazo ya kichwa nazi na kazi za kichwa nazi ni porojo na porojo zinaongelewa sokoni.
Naamini CDM wanatazama qualitative zaidi kuliko quantitative.
si kila jambo wanatakiwa wanawake wawepo, na si kila jambo lazima wanaume wawepo, kutokwenda ikulu na mwanamke hakumaanishi ni kuwanyima wanawake haki.hata wewe mwanamke mwenzangu unanitukana ama kweli dunia imekwisha. Haki zetu zitaendelea kuporwa na wanaume hadi mwisho wa dunia.
porojo hazitakiwi kwenye mambo ya msingidada na urembo wote huo unatoa maneno machafu ivo!