kwa mliochagua arctecture enginnering ya ardhi someni hapa.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
total applicants=2196,admission capacity=50.eligible=2111.1st choice=355....me najijua nshakosa chuo hadi hapo mwaka huu
 
pole ila usikate tamaa issue hapo division yako ndo itafanya kaz vp kwan wanatoa lin matokeo?
 
we hapo kama huna div 1 ya point 5 mpk 7 hulambi kitu unatoka mweupe
 
Sasa kama kuna competition namna hiyo,walikua wana haja gani ya ku2andika watu wote hao eligible,c wangewaandkia 2 hao hamsin eligible,sisi wengne wangetuandkia not eligible ili 2jijue kabisa?
 
Sasa kama kuna competition namna hiyo,walikua wana haja gani ya ku2andika watu wote hao eligible,c wangewaandkia 2 hao hamsin eligible,sisi wengne wangetuandkia not eligible ili 2jijue kabisa?

Acha kupanic kijana!! kama ulifauru vizuri unaweza pata, we muombe mungu kwa nguvu zote
 
nina dv 2,sasa hapo kuna kupona kweli?

Ndugu imekula kwako maana nilivyochek results za kibaha mzumbe na ilboru pcm zimepiga ni balaaa tena one kalikali So we endelea kumuomba Mungu ila kwa udhoefu wangu mdogo hapo umetoka kweupe
 
Ndugu imekula kwako maana nilivyochek results za kibaha mzumbe na ilboru pcm zimepiga ni balaaa tena one kalikali So we endelea kumuomba Mungu ila kwa udhoefu wangu mdogo hapo umetoka kweupe

bora hata wa arts na biashara,wao hata ufaulu wao haukua mzuri,so uwezekano wa kupata 1st choice zao ni mkubwa!
 
Back
Top Bottom