Msaada: Nataka kuhama campus ya chuo lakini nimekwama

joshua cosmas

New Member
May 1, 2019
1
0
Habari JF,

Mimi ni mwanafunz wa T.I.A ngazi ya diploma niliehtm 2022 campus ya Dar es salaam. Sasa mwaka huu niliapply Bachelor ya account hapohapo T.I.A but kwa bahat mbaya nikakosea kuweka chaguo la campus, badala niweke main campus ambayo ni Dar mimi nikaweka Mwanza.

Nilijitaidi sana kuwasiliana na wahusika ili wanisaidie lakini nikaambulia kuambiwa watanifanyia transfer chuo kikifunguliwa.

Sasa nimeenda chuon j3, tunaambiwa tu tujaze barua za transfer then tuzipeleke admission office but hadi leo hizo form za transfer hawazfanyi kazi na wakat nafac za wanafunz zipo kabsa, wanasema tusubiri hadi trh 6 yaani ni kama hawajali chochote kuhusu sisi wakati tunatakiwa kujisajiri mapema ili mikopo yetu iingie mapema na zaidi masomo yanaanza trh 29.
 
Back
Top Bottom