Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,282
- 31,432
Haya, kwa mfano madaktari wooteee unawafahamu, utafanya nini?Nampeleka sehemu nyingine.
Haya, kwa mfano madaktari wooteee unawafahamu, utafanya nini?Nampeleka sehemu nyingine.
daaah shem wangu achungulie na kujua ramani ya k yangu ..hapana kwa kweli..
Over my unconscious body nitafanya kosa kama hili.
Walaa ilienda vyema.. Halafu huwa tunakutana nae sana nikiwa ña babie wangu amekuwa sasa. Usiogope Kongosho! Let nature take place
hayajakukuta wewe!
haina tatizo unless wewe kila unayemuonyesha mwili unawaza pumbbu
medical are trained to respect clients
Mbona mnakomalia tuu mambo ya uzazi, Hata mwanaume Kama TIGO inajipu au uvimbe, Ndo utakufa nalo kwa aibuu?
stop kabisa.
Kuna baba daktari jirani yangu alimchoma binti valium akambaka.
Weee, hakuna cha trained kwenye dunia ya leo ilojaa uhaya.wani.
Utakuna maneno mtaani, fulani na kuriiinga mkewe ana jino na pembe, nani anataka haya??
wa kubaka sio lazima awe jirani, anaweza kuwa stranger au jiranistop kabisa.
Kuna baba daktari jirani yangu alimchoma binti valium akambaka.
Weee, hakuna cha trained kwenye dunia ya leo ilojaa uhaya.wani.
Utakuna maneno mtaani, fulani na kuriiinga mkewe ana jino na pembe, nani anataka haya??
Kongs mimi simo hapo kwenye red, ngoja wenyewe waje hapa lol
daaah shem wangu achungulie na kujua ramani ya k yangu ..hapana kwa kweli..
lets be realistic on this thing, unachokihitaj ni huduma bora ama mtu? kama huduma bora inapatikana kwake kwanini usiende kwake? labda kwakua nyie wa siku hizi mna madokta kabisa mimi huwa naenda changanyikeni anayekuwepo zamu ananizalisha narudi home sina cha dr wangu kwenye uzazi hata siku moja.
on the other hand kama unapanga kuwa dr wako hasa kwenye mambo ya uzazi basi ni afadhali ukamchagua mtu asiye kujua ili kuweza kukupa privacy ya kutosha. manake ukweli ni kwamba uchi wa mtu na aibu siku zote. Ila hili fanya kwasababau unachagua ukiwa na akili zako lakin kama umebanwa kwenye engo ngumu usibague hata siku moja acha upatiwe huduma.
Naona mnaongelea magonjwa kama issue ya kwenda 'fiesta'..ambayo unapanga na kujiandaa..
Hivi umebanwa kabisa na maisha yako hatarini utaanza kuchagua madokta???..
Hivi ingekuwa ndiyo mambo haya kungekuwa na 'dakatri wa familia' kweli??
Yeyote aliye tayari no matter tunafahamiana atamtibu mkewangu au mimi mwenyewe provided ana 'qualify' kwenye case husika...
labda awe specialist.
Ukute ni ki lena bado kina hamu, huwa vinachambua kama pamba kila kiungo kinawekwa meza tofauti, utajuuuuuta kukifahamu.
kwa mfano,mke wako ni mjamzito,na anakaribia kujifungua....na una rafiki yako wa karibu/au ndugu yako ambaye ni daktari/mtaalamu wa uzazi ambaye anaweza kumshughulikia mke wako wakati wa ujauzito....je kipi ni bora,kumpa support rafiki yako, au kumpeleka sehemu nyingine?....na je kunakuwa na faida na hasara gani juu ya hili?....asanteni,,,,,,nawakilisha