snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,407
- 1,110
kwa mfano,mke wako ni mjamzito,na anakaribia kujifungua....na una rafiki yako wa karibu/au ndugu yako ambaye ni daktari/mtaalamu wa uzazi ambaye anaweza kumshughulikia mke wako wakati wa ujauzito....je kipi ni bora,kumpa support rafiki yako, au kumpeleka sehemu nyingine?....na je kunakuwa na faida na hasara gani juu ya hili?....asanteni,,,,,,nawakilisha