kwa mfano.........wewe ungefanyaje?

tumuachie Mungu haya hili jambo maana ndie aliyeleta vyote hivi ajua yote sisi si kitu kwake hata tukijificha maana hatujui wanawake wanapozalishwa nini kinafanyika
 
huyo ndo teacher mwalimu bwana!
nakupa offer ya kukuandikia scheme of work ya muhula huu wote!

am humbled kwa hilo ma dia.
muhula huu ni wa kuwalisha watoto nyanga za kuotea za NECTA sasa sijui scheme yake inaandikwaje.
 
Me nafikiri unapoona mkeo mjamzito na siku zinaanza kukaribia za kujifungua huna budi kuwa na maandalizi ya mwanzo na kuwa na wazo hospitali ipi atakwenda kujifungulia...vitu vizuri vinahitaji gharama, swala la undugu do not entertain and don't escape the cost in life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom