JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 203
Jamani mdogo wangu kapelekwa kibasila. Help me with details kuhusu shule na comb ya HKL chuo.
Hapo akimaliza ni ualimu 2 moja kwa moja.
Jamani mdogo wangu kapelekwa kibasila. Help me with details kuhusu shule na comb ya HKL chuo.
Hapo akimaliza ni ualimu 2 moja kwa moja.
.
Nimefurahi kuona kuna some Minaki Boys huku Jamvini
Mimi nilisoma hapo A-Level zamani ... na mdogo wangu wa mwisho nae alisoma hapo O-Level kama 10 years ago.
Zamani ilikuwa shule nzuri ... sasa kwa sasa hivi kwa kweli sijui.
Lakini all in all .. shule siku hizi ni jitihada yako tu .. tafuta vitabu vya kutosha na uwe unajisomea sana ili ku-master masomo / elimu yako ... ukitegemea walimu peke yao tu utapotea.
Nakushauri nenda tu ... ila jitahidi kujisomea mwenyewe na upate materials mbalimbali.
.