12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,184
- 398
Nimekutana na MZAZI mmoja anaongea kwa kuonyesha uchungu na HUZUNI kubwa kwa Yale yanayowakabili Wazazi walio na Watoto wenye kusoma shule hii kongwa ya enzi za mkoloni.
Tangu mwaka Jana 2023 MKURUGENZI NA BARAZA LA MADIWANI walikuja na mpaka mpya wa kupanda gharama za kusomesha Watoto katika shule hio inayoendeshwa kwa kutegemea Wazazi walipe ADA kwa Watoto wao wanaosoma hapo.
Kwa Watoto wa kutwa ADA kwa mwaka pamoja na CHAKULA Ni Tshs.830,000/= na Bweni ADA Ni zaidi ya Tshs.1,500,000/= kwa gharama za Sasa zenye kulazimishwa na Mkurugenzi na hao MADIWANI bila Mkurugenzi na MADIWANI hao kufanya kikao chochote na Wazazi wote.
Shida kubwa inatokana na shule hii kuondolewa kwenye SERIKALI KUU na kuachwa iwe chini ya Manispaa ya JIJI la ARUSHA.
Kinyume na matarajia Tena bila makubalino na Wazazi husika wenye Watoto shuleni hapo...Mamilioni hayo ya FEDHA yanaenda MOJA kwa MOJA Manispaa ya JIJI badala ya kuachwa zibaki kwenye akaunti ya shule ili zitumike ziendlesha shule hio TU.
Taarifa zinasema, Baada ya FEDHA zitapelekwa kuanza ujenzi wa shule nyingine Mpya yenye mfumo huo wa Kufundisha kwa Kiingereza bila idhini lenye kutokana na kikao pamoja na Wazazi wa Arusha school.
Kwa taarifa zilizopo Wazazi waliomba kikao na MKURUGENZI wa JIJI Hilo la Arusha amegoma kabisa KUFIKA na kuwasikiliza Wazazi na Wazazi wamsikilize yeye Kisha kuwe na maamuzi mazuri ya pamoja.
Badala yake Sasa wamtumia Mkuu wa shule niliyejulishwa kuwa anaitwa HASHIMU NJAU kutoa vimemo vya kuwalazimisha Wazazi walipe ONGEZEKO LA GHARAMA HIZO ZA KUSOMESHA MTOTO.Wakati naongea na MZAZI huyo aliniambia bila kujua habari hizi zitatoka heawani...Aliniambia Wameambiwa kwa vimemo kesho Tarehe 15/2/2024 kwa MWANAFUNZI WA DAY (Kutwa) na BWENI LAZIMA walipe FEDHA hizo kwa amri hio ya Mkurugenzi zaidi ya hapo hakuna mtoto atakayeruhusiwa kuingia DARASANI kesho.
MZAZI anasema,tumezoea kulipa ADA kwa mwaka 570,000/= kutwa na inatosha kabisa,Sasa mabadiliko haya yanayofanywa bila WAZAZI kuKkubali tunajemga ama tunabomoa?
Tunasikia wanasema zinatafutwa pesa uchaguzi 2024 na 2025 wamekosa pakuzipatia pesa za kampeni mpaka Wazazi wanyonge wanajitahidi kusomesha Watoto tuwaacjie hata urithi wa Elimu TUKAMULIWE MPAKA DAMU?
Mkuu wa Wilaya na Mkoa nasikia wanalijua suala hili,Wamesaidiaje mpaka Sasa?
Waziri Elimu inasemekana pia kilio hiki kimemfikia iwe rasmi au kwa kutonywa Wasije subiri WAZAZI Wakajazana Getini wakiimba TUNAMTAKA MKURUGENZI×20 kwa siku mzima au HATUTAKI ADA KUPANDA×200 kwa kutwa nzima hapo Getini.
Jamani Mjumbe hauawi, penye Moshi Kuna Moto ..ARUSHA SCHOOL hapo Karibu na mkabala na Tanesco Sasa kunafukuta tusisubiri mengineyo maana Kikao Cha Mkuu wa shule na Wazazi WAZAZI WALIKUWA WANAZOMEA NANKUPIGA MAKELELE MNO...Alisema mzazi .
Nami nashauri JICHO LA TATU LICHUNGULIE Ikiwezekana shule hio irudishwe SERIKALI KUU maana kwa Sasa inayumbishwa ovyo na wanasiasa.
Asanteni!