Kwa anayeijua MINAKI high school

nimegonga skul pugu boyz. minaki z gud skul than pugu. in terms of usafi na maticha. atlist minaki ingawa maticha hawapo! shule za serikali are nitemares!
 
.

Nimefurahi kuona kuna some Minaki Boys huku Jamvini

Mimi nilisoma hapo A-Level zamani ... na mdogo wangu wa mwisho nae alisoma hapo O-Level kama 10 years ago.

Zamani ilikuwa shule nzuri ... sasa kwa sasa hivi kwa kweli sijui.

Lakini all in all .. shule siku hizi ni jitihada yako tu .. tafuta vitabu vya kutosha na uwe unajisomea sana ili ku-master masomo / elimu yako ... ukitegemea walimu peke yao tu utapotea.

Nakushauri nenda tu ... ila jitahidi kujisomea mwenyewe na upate materials mbalimbali.

Thanx so much for your advice i got u very well
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom