Kwa anayeijua MINAKI high school

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
128
Jamani ningependa kujua details za Minaki in case of enviroment kwa anayeijua. Na pia kwa wale wanaosoma hapo, au wenye taarifa shule inafunguliwa lini ningeomba mnijuze.
 
kuhusu mazingira kwa kweli hali ya vyoo utaishuhudia mwenyewe, chakula nadhani una idea kuhusu mlo wa shule za serikali
 
Jamani ningependa kujua details za Minaki in case of enviroment kwa anayeijua. Na pia kwa wale wanaosoma hapo, au wenye taarifa shule inafunguliwa lini ningeomba mnijuze.

shule za serikali zote zinafanana! Kapige shule tu, mwisho wa siku utaona matunda...nakumbuka wakati nipo Njombe kuna jamaa alihamia toka Minaki, tukamuuliza kulikon akadai minaki hakuna walimu, wakati huo tulikuwa na mtu darasan anang'ang'ana aamie Minaki...aliishiwa. Kaa ukijua shule zote za govt zinatofautiana katika matatizo.
 
Guyz hakuna mtu asiyejua matatizo ya shule za Govt, cjui ubovu wa vyoo, uhaba wa maticha, yote hayo nayajua ila nnachotaka kujua ni mazingra yake ipo mjin au kijijini na inafunguliwa lini?
Mi mtoto wa kiume Born 2 fight siwezi kuogopa fangas
 
.
Kumbe! Ipo jirani na Gongo la Mboto aka Gomz, barabarani kabisa kabla hujafika Kisarawe mjini. Majirani zako watakua Pugu sec. W'end ukitaka kula bata jijini "unadrop" kwa raha zako.
 
mimi nilisoma minaki nikapiga one kali sana na sasa hivi niko mbele. wewe nenda kasome mambo mengine utayakuta huko huko walimu sio tatizo kwani mwanaisha alisoma shule yenye walimu kibao ila kaambulia div four ya maana
 
Hao ni kama mtu na ndugu yake hao fungus kwenda mbele,zipo jirani jirani njia ya kwenda chanika!!
 
mimi nilisoma minaki nikapiga one kali sana na sasa hivi niko mbele. wewe nenda kasome mambo mengine utayakuta huko huko walimu sio tatizo kwani mwanaisha alisoma shule yenye walimu kibao ila kaambulia div four ya maana
.
SI unit like this.
Minak bonge la shule kwa mtu anayejituma, hamna lelemama wala ugoigoi pale. Ni kama jeshi.
 
Guyz hakuna mtu asiyejua matatizo ya shule za Govt, cjui ubovu wa vyoo, uhaba wa maticha, yote hayo nayajua ila nnachotaka kujua ni mazingra yake ipo mjin au kijijini na inafunguliwa lini?
Mi mtoto wa kiume Born 2 fight siwezi kuogopa fangas

Kapige shule mkuu.. Nilipiga shule hapo A level pia, iko katikati ya pugu na kisarawe siku hizi mkeka tupu mpka kisarawe, ijumaa kama kawaida masomo mwisho saa sita unadrop mjini kula bata jumapili jioni au jumatatu alfajiri unageuka ila enzi hizo kulikua na recall jumapili jioni saa 12(enzi za marehemu Mjale RIP) alikua anaruhusu watu kudrop town ijumaa sijui siku hizi pakoje, mabweni yalikua yamechoka enzi hizo except mnyampala ambalo sisi tulikua tunaliona kama la mabrazameni! wagumu tulikua tunakaa makongoro hakuna dirisha wala mlango mamaee ila maisha yalikua yanaenda na tulitusua vilevile... msosi kama kawa kwa maisha ya bweni ila kuna kina mama wauza dagaa na kisamvu vilevile feza zako tu..
 
Kisamvu kwa "mama kinyogori"..
 
mimi nilisoma minaki nikapiga one kali sana na sasa hivi niko mbele. wewe nenda kasome mambo mengine utayakuta huko huko walimu sio tatizo kwani mwanaisha alisoma shule yenye walimu kibao ila kaambulia div four ya maana

Thanx Mr. for ur advice. Tungekuwa na watu kumi kama wewe hapa jf tungeendelea
 
Mie ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa kama vp nipen madetaits vp kuhusu mpira

we d0g0 na mpira 2 !? Utazungusha, h0me ume2mwa uje kucheza mpira? Mpira wenyewe hujui ungekua unajua c ungekuep0 hata TSA, simba B, yanga B n.k kama cc! Aggggrrrr.!
 
Wapi bob chura. galopa mkristo wap teacher kabahoza, shehoza madame sailen semwaiko. mkwanganyule na fumbuka da acha kabisa minaki ilikuwa noma
 
Jamani mdogo wangu kapelekwa kibasila. Help me with details kuhusu shule na comb ya HKL chuo.
 
Back
Top Bottom