Kuwasoma watu their 'body language'

married and older than you ,we boss weee,sasa naanza kuhisi kwa kufungua uzi huu kumbe una maana,ushindwe na ulegee!

ndo maana nikauliza
kama amenisoma na kunielewa
je na yeye karahisisha mambo?
Kwa sababu mimi yangu yaliishia moyoni mwangu..
Yeye kaanza mawasiliano...au nimemsoma vibaya?????

The boss, mapenzi hayaangalii umri wamtu, kwani hujawahi ona wanawake watu wazima wana mahusiano mazri tu na vijana waliowazidi umri?

huyo unayemuona mtu mzima huwezi jua na yeye anakuangalia kwa matamanio hayohayo, ila anza taratibu kwa kumuomba out ofa za lunch hv, huko unaweza pata nafasi ya kumuelewa zaidi

tatizo wanaume hawajiamini kuwa na wanawake wakubwa na wanawake vile vile hawajiamini kuwa na wanaume wadogo.
Ni rahisi kusema mapenzi hayaangalii umri ila kiuhalisia ni ngumu sana.

the boss, mapenzi hayaangalii umri wamtu, kwani hujawahi ona wanawake watu wazima wana mahusiano mazri tu na vijana waliowazidi umri?
Huyo unayemuona mtu mzima huwezi jua na yeye anakuangalia kwa matamanio hayohayo, ila anza taratibu kwa kumuomba out ofa za lunch hv, huko unaweza pata nafasi ya kumuelewa zaidi

ushauri mzuri huu....

tatizo wanaume hawajiamini kuwa na wanawake wakubwa na wanawake vile vile hawajiamini kuwa na wanaume wadogo.
Ni rahisi kusema mapenzi hayaangalii umri ila kiuhalisia ni ngumu sana.

swala hapa sio kujiamini,swala hapa ni je
tafsiri yangu ni sahihi au namtafsiri mtu sivyo?

Mwanamke unaweza kujua na unaweza usijue inategemea huyo mtu mna interact vipi, unaweza mtamani msichana mnakutana tu coridoni na kusalimiana mkiwa bize hawezi kujua, ila kama mnakaa ofisi moja na kuingiliana kwenye kazii zenu unaweza mjua kirahisi sana

Umri sidhani kama ni tatizo kabisa, nina mtu wangu(ndugu) ameolewa miaka kama nane imepita mumewe mdogo kwake kwa miaka sita ndoa yao iko successful kuliko hata hao waume wao waliowakubwa kwao, yaani ni mwanaume ambae nikimwona huwa natamani na mie mume wangu awe na tabia kama zake

The boss kuheshimiana na huyo mwanamke hakufanyi kushindwa kuwa na uhusiano nae, kama unamuangalia kwa matamanio, ina maana keshakujua maybe anakusubiria tu wewe pole sana mkuu

swala hapa sio kujiamini,swala hapa ni je
tafsiri yangu ni sahihi au namtafsiri mtu sivyo?
Kwani ushawahi kumtania kitu chochote chamapenzi? reaction yake ilikuwaje,
maana unaweza jua kama tafsiri yako ni sahihi kwa kujaribu vitu vidogo vidogo
ukimwona yuko serious sana ujue hataki mchezo

ndo maana nikauliza
kama amenisoma na kunielewa
je na yeye karahisisha mambo?
Kwa sababu mimi yangu yaliishia moyoni mwangu..
Yeye kaanza mawasiliano...au nimemsoma vibaya?????
Yaani kaanza kuwasiliana na wewe kwenye simu au?na unaposema yaliishia moyoni kivipi, yaani ulimtamani yakaisha ukaendelea na maisha?

Mhe! c rahisi kujua kama hujamwonesha ila kama ushamwonesha kesha jua ila most of the woman hata akijua akwambii ng'oo! labda akiwa mwepesi na yeye isha anza kumwingia rohoni, atakuwa anajaa tu kingi kimya kimya ili akurahisishie, ( ndo kawaida yao) lakini ka mzito fulan hivi, kaka atakutegea mpaka useme usiposema ndo nitolee....ushauri wa binti mmoja down hapo kuwa mtoe out ni wa maana sana huko hata usiposema akikisha mazingira yenyewe yanasema, wewe uta konkuludi tu ze essay..lol

Kwa wanawake kutambua ni rahis kama wachangiaj wa awali walivyosema,lakin pia mwanaume unapaswa kuwa na subira hata kama mwanamke umezoeana nae,,,,,na kuna mbinu waweza tumia kufikia malengo

Hahahahahaaaaa,,,,kwani mapenz ni mchezooooo,?????
Kwani ushawahi kumtania kitu chochote chamapenzi? reaction yake ilikuwaje,
maana unaweza jua kama tafsiri yako ni sahihi kwa kujaribu vitu vidogo vidogo
ukimwona yuko serious sana ujue hataki mchezo

yaani kuna mtu anaweza kukodolea hadi ukadhani umesahau kufunga zipu ama vifungo vya blouse vimekatika? AshaDii sijui yuko wapi anisaidie na mijicho kodoo!

Hapo Kweli king'asti, siku mmoja tuko kwenye foleni ya maankuli kwenye semina mmoja, rafiki yangu kaona mdada mzuri, alimkodolea macho mpaka huyo dada akanitobolea " aisee huyu rafiki yako ni kama ananionda uchi wangu, vile anavyo niangalia ni kama ana Xray!!!!!"

ndo maana nikauliza
kama amenisoma na kunielewa
je na yeye karahisisha mambo?
Kwa sababu mimi yangu yaliishia moyoni mwangu..
Yeye kaanza mawasiliano...au nimemsoma vibaya?????
The Boss tena umsome vibaya hasa,never never play around witha married woman,acha kabisa wala usiwazie jambo hilo,ni hatari kubwa sana Mkuu!

Similar Discussions

Back
Top Bottom