Kuwasoma watu their 'body language'

The Boss mimi ni wa church tu sasa. Nimepitia pilika zote sasa nimetulia nalea watoto wangu. Ma ex ni wa kuogopwa kama ukoma, nikisema hivi utafikiri natania ila kipindi mko pamoja hamkuona umuhimu kati yenu.

Tujenge kuwa na hofu mioyoni mwetu. Uwe na maswali mengi yanazunguka kichwani mwako unapotaka kutenda dhambi, nashiukuru Mungu sana I have that sence. Siku hizi nawajua wanaokupenda, tamani, danganya, ukweli huwa ni mdogo sana kama chembe ya HALADARI!! women to men the choice is yours, which way should you take!
 
ndo maana mimi huwa nafuata moyo wangu tu....
Sifuati society inavyokwenda..
Unaweza jilazmisha kwenda the way watu wanataka
kumbe inakuumiza kuliko...
Mie huwa najiuliza sana hili swala la kufata moyo, hivi haiwezi siku moja moyo ukakudanganya?
na ikikutokea unafanyaje ku recover the boss
 
Mie huwa najiuliza sana hili swala la kufata moyo, hivi haiwezi siku moja moyo ukakudanganya?
na ikikutokea unafanyaje ku recover the boss

hapo wahindi wanasema,mioyo hii ina kichaa...
leo unakwambia fulani ndo mwenyewe,kesho moyo unakuambia mwingine..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom