Careboy wamuntere
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 163
- 35
Ha ha haa, ukizidiwa na hoja usitukane baba, CCM hawana Record ya mauaji, na vilex2 hawakufanya maandamno bali ni mkutano, CDM mnaandamana sana. Pole.Wanzuki siyo pombe za kawaida! Kama mtu unakunywa wanzuki hangover yake ndo unaongea pumba kama hizi! Kwani tarehe 2/9/2012 CCM hamkufanya mikutano ya kisiasa, hizo sheria anatungiwa Chadema tu! Nonsense..