Kuvuja siri & kauli ya Msajili vyathibitisha ukweli wa mtonyaji serikalini kuhusu vifo mikutanoni

republican & democratic. ni vyama ambavyo vipo juu katika siasa za marekani, vyama hivi vimekuwa vikiongoza kwa kupokezana, awamu moja ikifanya madudu chama husika hubwagwa na kupotishwa kingine......hivyo hivyo miaka na miaka
Hivi chama kikishika madaraka (rep au dem) je huja na serikali yake kwa maana ipi(JESHI,CIA,FBI,ANGA,UTABIRI,MIUNDOMBINU,UCHUMI n.k) ama inakuwaje hasa......
 
Mi nilishasema "nachukia kazi inayofanywa bila kushirikisha ubongo". Hawa wawili Zelote Stephen na Kamhanda ni wahusika wakubwa na damu hizi zitawarudia tu.
N.B: Tanzania ijiandae kwa kizazi cha visasi maana watoto wa ndugu zetu wanaouwawa pasi na hatia lazima watakuja lipiza vifo vya wazazi wao. Take my words
mimi nimeshaanza kuwaambia wanangu wawaogope na kuwaepuka sana mapolisi na wasije kabisa kuwaamini nikaongezea kwamba wakati mwingine majambazi huwa wema kuliko polisi pindi tu ukiwapatia wanachokitaka.kwa kweli polisi wana laana na ndio maana maisha yao hayajawahi kuwa mazuri hata siku moja.
 
CCM wana dola CDM wana Mungu na Nguvu ya Umma (mwombeni Mungu wa Ibrahimu awe upande wenu kwani ss wananchi tuko upande wenu), bila shaka ushindi ni lazima hata kama ccm hawataki. ccm wajiandae kusambaratishwa kabisa,

cdm msiwe waoga, mwombeni Mungu awape roho ya ujasiri, kwani mwisho wa CCM hauko mbali, nyie subirini kwenye kasheshe ya nani awe mgombe wa urais wa ccm ndipo utajua mbivu na mbichi siku hiyo.
 
Unaanzisha makundi ya kugawa wananchi kwa misingi ya udini na ukabila......!
Kweli hakuna marefu yasiyo na nchi, nakubali;
Unakwenda Asia kununua mtambo wa kuingilia simu za watu ili uwabambikizie kesi - unakwama.
Unamkamata mtu unampiga na kumwua kisha unamtupa mabwepande - Kumbe hajafa anafufuka.
Unaanza harakati za kuchafua chama na kutunga sheria mbovu - siri zinavuja kabla.
Unapanga deal la kuwapoteza akina Slaa, Mnyika na LEMA-- Wenzako wanakusaliti wanatoa siri.
Sasa huko kama siyo kufika mwisho ni nini?

 
Yale yale dikteta haamini anaangushwa. amini usiamini siku zao zinahesabika mkumbukeni msemaji wa Saada, ukitoa mifano hapa JF yote itajaa. Hata maelezo ya nchimbi yanaonyesha uongo na kushindwa majaaliwa ya mungu ndo wanayasubili. hata Marekani waliwachoka wazungu wakampa obama
 
Ninaambiwa yule Polisi aliyemfyatulia bomu David Mwangosi ni Mwanachama wa CDM!


hizo ndizo propaganda za ccm, hivi ni nani anayemiliki silaha na mabomu kama sio ccm na genge la wahuni lililowekwa kambini ambalo wameshindwa kujisafisha mbele ya umma. ww jiulize CDM hilo bomu waliingiza kupitia bandari ipi ccm na serikali yake wasilione. mtu asikudanganye kama CDM wangeingiza hata bomu moja la machozi wangekuwa walishakamatwa siku nyingi na kufunguliwa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake kuu ni kunyongwa hadi kufa.

mwambie huyo jamaa alete ushahidi namba ya bomu, materials iliyotengeneza na nai aliagiza kutoka katika kiwanda gani. ukidhibitisha hilo tutakujibu baada ya hapo
 
Na pia Tendwa ajue kwamba kuna vitu vitatu huwezi kuvificha mojo kwa moja navyo ni Jua,Mwezi Na Ukweli

Ndio maana kila wanacho kipanga kwa namna za kipekee mungu anazifichua kwa uma, hawataweza kuwa na amani asilani .
 
Ni kweli kabisa. Tendwa, kama ataweza, ataifuta CHADEMA, Mungu ataifuta CCM.

Nimependa hii Signature yako mkuu, naona sala zako zimesikilizwa.
NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. MUNGU NAKUSHUKURU SANA KWA KUMWEKEA MKONO WAKO WA UPONYAJI DR.STEVEN ULIMBOKA. AMINA
 
kizazi walichokuwa wanakidanganya kimepita hawana jinsi wanapaswa watende mambo ambayo hayata hacha uhasama kwa Watanzania.
Sio lazima wao tu waongoze hata kukaa pembeni na kuangalia wenzako wakati unajipanga kurudi huo ndo uzalendo sio kuuwa kwa tamaa ya madaraka.
 
Ukereketwa tu umekuzidi hadi unaandika habari kulingana na fikra zako. Hakuna ulazima wa mtumishi anaposafiri kikazi lazima kiongozi wake apate ridhaa kwa watumishi wengine. Hatutaki udaku hapa.

Habari ya asubuhi bosi!! kavute fegi kwanza bac ili akili ikae level
 
Mungu wetu ni mwema,tendwa,mwema,kamuhanda,nape na wengineo wenye asili ya magamba laana hii na damu ya wtanzania itawalilia popote watakapokuwa...Amen.
 
Ni kweli CCM wanakazi ni afadhali wamtangulize MUNGU katika kazi zao kwa maana shetani ameshindwa kwa jina la Yesu .Popote penye ubaya ukweli hujitenga.
 
Ushirikiano wanaopata CDM kwa sasa toka kwa wananchi ni kama kipindi tunapambana na Nduli Idd Amini namna wananchi walivyokuwa tayari kuilinda nchi yao. Kwa haya matukio yanavyopangwa na CCM na kisha mipango yote kuharibika kweli nimeamini Mungu yupo pamoja na CDM kwa niaba ya Watanzania. Hivyo wito wangu kwa wapenda mabadiliko wote wakati M4C inaendelea maeneo mengine tuwaenzi waliokufa wakipigania haki kwa kufungua matawi mbalimbali kwenye maeneo tuliyopo bila kusubiri vciongozi wa Kiitaifa. Ninaamini kwa kufanya hivyo tutakuwa na maeneo mengi ya kukutana na wananchi wengi na kuwahabarisha vema kila aina ya propaganda inayofanywa na CCM.
hakika Mungu yu pamoja nasi, CCM hizi laana za damu ya WATU hawatasalimika kamwe, na OLE WAO wanaoendelea kuishabikia CCM laana itakuwa juu yao hadi kwa vizavi vyao
 
Kwa hiyo waovu ndani ya TISS wameshidwa kutekeleza maagizo maovu na waovu ndani ya jeshi la polisi wametekeleza maagizo maovu kwa kwa njia mbovu. Kwa maneno mengine waovu ndani ya serikali maagizo yao maovu yameshidwa kuzaa matunda maovu waliyopenda yatokee...!

Kwa mwenye akili timamu, anayeshiriki kuandaa matendo haya maovu anatakiwa ajisalimishe kwa raia au ajifanyie huo uovu, maana hakuna jinsi lazima atakabiliwa na adhabu ya kuratibu uovu huo.
 
Mi nashukuru kila siku ya mungu wanaumbuka, wanavyojitahidi kufanya madhambi yao na shetani wao wanazidi kuumbuka tu
 
Huyo mungu atakayefuta CCM halafu aiache CDM wanaosababisha vifo kila mkutano basi atakuwa mungu wa shetani.

Huu uharo unaweza kuutolea tu hapa JF mchana kweupe ukitoa huu uharo huu utajuta kuzaliwa. Hadi picha zimewekwa bado unaweweseka kuwa CDM wameua hivi wale polisi walipelekwa na CDM?
 
republican & democratic. ni vyama ambavyo vipo juu katika siasa za marekani, vyama hivi vimekuwa vikiongoza kwa kupokezana, awamu moja ikifanya madudu chama husika hubwagwa na kupotishwa kingine......hivyo hivyo miaka na miaka
Hivi chama kikishika madaraka (rep au dem) je huja na serikali yake kwa maana ipi.k(JEJSHI,CIA,FBI,ANGA,UTABIRI,MIUNDOMBINU,UCHUMI nk) ama inakuwaje hasa......

Hao ni watumishi wa umma (Civil Servants) na hawahitajiki kubadilishwa. Na hili ndio kovu kubwa katika mbongo za watawala wetu. Wao bado wako kwenye mfumo wa chama kimoja ambapo watumishi wa umma walikuwa sehemu ya CCM. Na ndio maana Sitta akasema hata kama CHADEMA ikipewa nchi haina watu wa kuongoza serikali. Yeye bado anaamini CCM ikiondolewa basi na CS wote wataondolewa pia. Myopic kabisa
 
Back
Top Bottom