Kuvuja siri & kauli ya Msajili vyathibitisha ukweli wa mtonyaji serikalini kuhusu vifo mikutanoni

Wanzuki siyo pombe za kawaida! Kama mtu unakunywa wanzuki hangover yake ndo unaongea pumba kama hizi! Kwani tarehe 2/9/2012 CCM hamkufanya mikutano ya kisiasa, hizo sheria anatungiwa Chadema tu! Nonsense..
Ha ha haa, ukizidiwa na hoja usitukane baba, CCM hawana Record ya mauaji, na vilex2 hawakufanya maandamno bali ni mkutano, CDM mnaandamana sana. Pole.
 
Nikwambie tu mimi sijatukana ila mwenzio ndo kanitukana, tuje kwenye msingi, je unahabari kuwa mikutano ya CDM ina record ya kuforce maandamano na kusababisha vifo?

Pili. suala la polisi kutumwa kutoka mikoa mbali mbali sioni hata kama ni hoja, kwa sababu tujuavyo polisi wako wachache na hata hivyo wametokea Tz, endapo wangetokea Kenya, uganda au burundi ndo ningeshangaa, kama unakumbuka Pemba walikuwa wanatolewa askari mikoa yote Tz kwenda kulinda amani, sasa unaona ajabu ya iringa na mbeya ambayo ni pua na mdomo.? Kama polisi wametoa utumbo watu ni wapi ilishatokea kwingine kama siyo kwenye mikutano yenu ambayo mnayodai ni nguvu ya kuua ili mpate madaraka. na je unafikiri mtu akishakujeruhi unaweza kumpa nafasi tena ya kuendelea kujeruhi watu. nasema hivyo kwa sababu CDM wakiambiwa fanyeni mikutano wao wanaandama ili kukidhi matakwa yao ambayo ndo tunayoshuhudia sasa hivi. kwa hiyo mi naona ni sahihi kuwastopisha kufanya maandamanio kwa sababu wna record mbaya ya mauaji, hata kama ilitokea polisi wakaua basi ilitokea kama ajali kazini na kwa kulazimishwa na CDM. Fullstop.

Mkuu sasa tunaweza kwenda maana umepunguza matusi.
Mosi, Chadema haina record ya kuforce maandamano kama una ushahidi weka. Arusha siyo mfano mzuri maana Waziri mkuu alishazungumzia hilo akaambiwa Mwongo.Lema akaambiwa kalete ushahidi. Kaleta uwongo karibu tano (mengine yalihusu umeya) Mpaka leo yuko nje hajapewa ruhusa ya kusoma utetezi wake, huko tusiende.

Pili, Polisi kuchukuliwa mikoa ya jirani siyo ishu. Hata kwenye main thread sikushangaa hilo. Ila niliuliza kwa nini kamanda wa Mbeya kadanganya kuwa hawakwenda wakati askari wake walikwenda. Kwanini Morogoro na Dodoma waligoma kujibu maswali straight forward, badala yake wanaleta siasa. Jibu lilikuwa ndio au Hapana - hawakutoa wanahofu nini?

Tatu, kwa nini ilikuwa siri sana mpaka hata askari wenzao hawakujua wenzao wameenda morogoro mpaka wanawaona kwenye magazeti?
Je, unakubali kwamba mikutano yote mikubwa ya Chadema ambayo polisi hawakuwepo tuna rekodi ya kuwa ni ya amani tupu?

Hivi pamoja na maelezo yooote bado hujaelewa mantiki ya kuhusisha polisi na mauaji yanayotokea kuwa yalipangwa? Wewe huwezi kuelewa tena maana kuna dalili zote kuwa huna uwezo huo
Tatizo ni kwamba boss wenu alitangaza ugaid wa kujitoa muhanga kabla ya mkutano na kweli imetokea hivyo sasa kitu ambacho huelewi ni nn hapo? wewe ndo hautoelewa kwa sababu unareason kiCDM. Pole weeee.
 
yaani ccm inahangaika sana yaani ni aibu kwa utawala huu na jk na group lake wana haha kama mbwa alikoswa na fisi kuzuia ukweli kumbe ndio wanaendelea kupandisha chart ya CDM
 
Nikwambie tu mimi sijatukana ila mwenzio ndo kanitukana, tuje kwenye msingi, je unahabari kuwa mikutano ya CDM ina record ya kuforce maandamano na kusababisha vifo? Pili. suala la polisi kutumwa kutoka mikoa mbali mbali sioni hata kama ni hoja, kwa sababu tujuavyo polisi wako wachache na hata hivyo wametokea Tz, endapo wangetokea Kenya, uganda au burundi ndo ningeshangaa, kama unakumbuka Pemba walikuwa wanatolewa askari mikoa yote Tz kwenda kulinda amani, sasa unaona ajabu ya iringa na mbeya ambayo ni pua na mdomo.? Kama polisi wametoa utumbo watu ni wapi ilishatokea kwingine kama siyo kwenye mikutano yenu ambayo mnayodai ni nguvu ya kuua ili mpate madaraka. na je unafikiri mtu akishakujeruhi unaweza kumpa nafasi tena ya kuendelea kujeruhi watu. nasema hivyo kwa sababu CDM wakiambiwa fanyeni mikutano wao wanaandama ili kukidhi matakwa yao ambayo ndo tunayoshuhudia sasa hivi. kwa hiyo mi naona ni sahihi kuwastopisha kufanya maandamanio kwa sababu wna record mbaya ya mauaji, hata kama ilitokea polisi wakaua basi ilitokea kama ajali kazini na kwa kulazimishwa na CDM. Fullstop.

tatizo jeshi la polisi limekuwa likitumiwa na ccm kutimiza matakwa yao kwani kuna njia nyingi za kudhibiti maandamano sio lazima kutumia risasi za moto!

Huu muendelezo wa kuuwa raia wasio na hatia ni wazi ni mpango wa kuimaliza cdm ili wananchi wasiende kwenye mikutano!

Kama una kubali kuwa walisafirisha askari kutoka mikoa mingine na unasema askari ni wachache sijui umetumia kigezo gani lakini swala hili kwanini limefanywa siri na makanda wanakana?

Na swala la kuzui maandamano ya watu wasio na silaha kwa kutumia silaha ni kinyume na haki za binadamu!
 
Msajli wa vyama alichemka..alichukua desa lile lile la kabla picha hazijarushwa..Lakini aliyeumbuka zaidi ni kamanda aliyesema chuma kizito. Lakini zaidi hata Dr Nchimbi anaumbuka kwa kusema ni bomu la machozi limelipuka vibaya na kumwua mwandishi.

Yaani ukijaribu kuunganisha haya yote unaona kabisa ni dili kubwa sana walikuwa wamepanga lakini kwa bahati mbaya sana wakachemka kwenye umaliziaji..

Sijui kwa nini serikali inatumia nguvu ya kupita kiasi hasa kwenye M4C..why hata CCM inaonekana hawapati usingizi kwenye hili kiasi cha kuanza kutumia siasa za kibabe badala ya hoja..

Nimejaribu sana kuangalia ile picha walipokuwa wakimsulubu Mwangosi, nikatazama na mabaki ya mwili baada ya kumlipua lakini sijaona TRACE yeyote ya "chuma kizito". Labda watuambie ni bomu la mkono, hata hivyo askari wote wale wasingesalimika.

Uongo hauwezi kushinda.
 
Mkuu sasa tunaweza kwenda maana umepunguza matusi.
Mosi, Chadema haina record ya kuforce maandamano kama una ushahidi weka. Arusha siyo mfano mzuri maana Waziri mkuu alishazungumzia hilo akaambiwa Mwongo.Lema akaambiwa kalete ushahidi. Kaleta uwongo karibu tano ( mengine yalisyo umeya) Mpaka leo yuko nje hajapewa ruhusa ya kusoma utetezi wake, huko tusiende.

Pili, Polisi kuchukuliwa mikoa ya jirani siyo ishu. Hata kwenye main thread sikushangaa hilo. Ila niliuliza kwa nini kamanda wa Mbeya kadanganya kuwa hawakwenda wakati askari wake walikwenda. Kwanini Morogoro na Dodoma waligoma kujibu maswali straight forward, badala yake wanaleta siasa. Jibu lilikuwa ndio au Hapana - hawakutoa wanahofu nini?

Tatu, kwa nini ilikuwa siri sana mpaka hata askari wenzao hawakujua wenzao wameenda morogoro mpaka wanawaona kwenye magazeti?
Je, unakubali kwamba mikutano yote mikubwa ya Chadema ambayo polisi hawakuwepo tuna rekodi ya kuwa ni ya amani tupu?

Kaka nimeanza kukupenda kwa sababu unauliza maswali ya msingi sasa, Mambo yanayohusiana na ya kijeshi huwa hayatangazwi kwenye magazeti na maana ni Police Force kazi tu sio siasa, na kazi yao ni kutuliza ghasia na kulinda amani ya ndani, sasa unasubiri uje uambiwe kwamba polisi wanaenda wapix2? hiyo bado sio hoja, Pili, Hakuna RPC anaweza kujibu hata kama ni uongo au kweli, kwa sababu suala lipo kwenye uchunguzi sasa hivi na pengine kutoa majobu ya aina yeyote inaweza kuhasribu ushahid, hiyo busa nayo huioni mzee. Pole kaka, endelea kunifungua.
 
Tatizo ni kwamba boss wenu alitangaza ugaid wa kujitoa muhanga kabla ya mkutano na kweli imetokea hivyo sasa kitu ambacho huelewi ni nn hapo? wewe ndo hautoelewa kwa sababu unareason kiCDM. Pole weeee.

Mkuu twende taratibu,
Mwenye uwezo wa kusema Dr Slaa amenitumia msg ni Said Mwema mwenyewe.Msg za simu siyo email. Ukiwaforwadiwa huwezi kujua aliyemwandikia huyo aliyekuforwadia. Kwa hiyo, hilo la msg halijadiliki mpaka Said Mwema aseme.
Saidi Mwema akisema, ndo tutakwenda mbele kwenye kile kifaa cha kuingilia mawasilano kama ilitumika au Dr Slaa aliandika.
Hivi ile kesi msg kwa Mwigulu waliyotaka kumfungulia Mnyika imeishia wapi vile??
 
Kaka nimeanza kukupenda kwa sababu unauliza maswali ya msingi sasa, Mambo yanayohusiana na ya kijeshi huwa hayatangazwi kwenye magazeti na maana ni Police Force kazi tu sio siasa, na kazi yao ni kutuliza ghasia na kulinda amani ya ndani, sasa unasubiri uje uambiwe kwamba polisi wanaenda wapix2? hiyo bado sio hoja, Pili, Hakuna RPC anaweza kujibu hata kama ni uongo au kweli, kwa sababu suala lipo kwenye uchunguzi sasa hivi na pengine kutoa majobu ya aina yeyote inaweza kuhasribu ushahid, hiyo busa nayo huioni mzee. Pole kaka, endelea kunifungua.

Kwa hiyo, Mwandishi akimwuliza wewe kamanda wa Mbeya, je askari wako walienda Iringa au hawakwenda? Yeye anamjibu mwandishi sikujibu, kwa sababu kuna uchunguzi unaendelea. Sasa ndugu yangu si tutaacha kuzungumza kabisa. Hapo umetupotosha.

Pili, mimi sijasema yaandikwe magazeti au aite press conference kwamba leo natuma askari kwenda Iringa kulinda Chadema. Tabu yangu ni kwamba, mtu anatolewa kituoni bila hata wafanyakazi wenzake kujua amepelekwa wapi? Wewe inaingia akilini, mtu anatoka Dodoma kwenda Iringa halafu marafiki ambaye wanafanya naye kazi ofisi mmoja hawajui. Ingekuwa safari ya kawaida angewaaga halafu wenzake wangempongeza kupata posho ya safari.
 
Mkuu twende taratibu,
Mwenye uwezo wa kusema Dr Slaa amenitumia msg ni Said Mwema mwenyewe.Msg za simu siyo email. Ukiwaforwadiwa huwezi kujua aliyemwandikia huyo aliyekuforwadia. Kwa hiyo, hilo la msg halijadiliki mpaka Said Mwema aseme.
Saidi Mwema akisema, ndo tutakwenda mbele kwenye kile kifaa cha kuingilia mawasilano kama ilitumika au Dr Slaa aliandika.
Hivi ile kesi msg kwa Mwigulu waliyotaka kumfungulia Mnyika imeishia wapi vile??
ile kesi ipo kwenye maadili ya bunge, kumbuka kwamba IGP ni Askari na Waaziri ni mwanasiasa, IGP atasema mahakamani kama ushahidi na sio kwenye vyombo vya habari kwasababu media sio mahakama. na Ncimbi alisema hivyo ili kujulisha wananchi kuhusu silaa ni mtu wa aina gani kama sio Gaidi.?
 
...Waache wakurupuke na kutunga sheria zao za uonevu ili kuinyamazisha CDM au kuifuta kabisa, lakini wajue fika kwamba kutazuka vurugu kubwa sana nchini ambazo zitaambatana na maafa ya kutisha na wa kulaumiwa itakuwa si mwingine bali DHAIFU ambaye ameamua kuweka mbele maslahi ya magamba badala ya yale ya nchi.
 
Kwa hiyo, Mwandishi akimwuliza wewe kamanda wa Mbeya, je askari wako walienda Iringa au hawakwenda? Yeye anamjibu mwandishi sikujibu, kwa sababu kuna uchunguzi unaendelea. Sasa ndugu yangu si tutaacha kuzungumza kabisa. Hapo umetupotosha.

Pili, mimi sijasema yaandikwe magazeti au aite press conference kwamba leo natuma askari kwenda Iringa kulinda Chadema. Tabu yangu ni kwamba, mtu anatolewa kituoni bila hata wafanyakazi wenzake kujua amepelekwa wapi? Wewe inaingia akilini, mtu anatoka Dodoma kwenda Iringa halafu marafiki ambaye wanafanya naye kazi ofisi mmoja hawajui. Ingekuwa safari ya kawaida angewaaga halafu wenzake wangempongeza kupata posho ya safari.
Tatizo lako unafananisha ofisi a kiraia na za kijeshi, sasa kwa taarifa yako jeshini wakati mwingine unaweza kuchukuliwa hata mkeo hajui umeenda wapi, na hata wewe mwenyewe usijue unaenda wapi, unapata maelezo mbele kwa mbele. hilo ndo jeshi baba, kama ulikuwa hujui, kazi ya kuchokonoa kwamba polisi walienda au hawakwenda ni ya Tume, na siyo ya mapaparazi. Fullstop, kama hulewi kalale mkuu. Bye.
 
Mie huwa habari za kwako siziamini kwani nyingi huwa ni za kubuni kwa ajili yakutetea chama chako, kwa kifupi huwa hauko fair kwenye kuripoti kwako, leo hii mnasema usalama wa taifa hamuuamini kesho mnakuja na story za kuwa mmepata habari za kutoka kwa hao hao watu wa usalama, sasa hapo ndipo credibility ya info zenu inapokuwa kwenye walakini mkubwa na za kubuni. Na jf inapokubali habari za namna hii inapoteza mwelekeo, hapa ni jukwaa la uwazi wataje watu hao kwa majina tuwajue.

Habari za siku Nying mkuu,
Heshima yako. Mimi kwa makusudi sikutaja wizara wala Idara yo yote ambayo jamaa yangu anafanya kazi na sitataja kamwe kwa makusudi. Kumbuka kila idara ina watu wazuri na wabaya. Hata Chadema wote siyo wema ila wema ni wengi sana.
Pili, habari hizi una haki ya kuamini au kutoamini, humu kuna watu karibu 2000 ambao wanasoma pengine wako wenye mawazo kama yako. Ni haki yao pia.
Tatu, habari hii ya Leo nilichambua matukio yaliyotokea nikalinganisha na maelezo ya mtonyaji wangu nikaona zinaendana sana. Yaani kile alichosema ndicho kinachotokea. Tuko pamoja mkuu.
 
Maswali ya kujiuliza

Je wakati askari wanatoka mkoa moja kwenda mkoa mwingine ni nani mwenye mamlaka ya kuidhinisha?
Je ni sababu zipi zilizo halalishd askari hao kutoka mikoa ya jirani wapelekwe?
Kwa vile hatua hii ilihusisha ngazi za juu ya mkoa je tutakosea kuamini kuwa ni mamlaka ya juu kabisa yalihusika?
Sasa liwalo na limekuwa, wamemua mtu ambaye kilio chake huvuka mipaka ya nchi yetu, tena wamehifadhi ushahidi mzito wa video itakuwaje sasa?
 
Tatizo lako unafananisha ofisi a kiraia na za kijeshi, sasa kwa taarifa yako jeshini wakati mwingine unaweza kuchukuliwa hata mkeo hajui umeenda wapi, na hata wewe mwenyewe usijue unaenda wapi, unapata maelezo mbele kwa mbele. hilo ndo jeshi baba, kama ulikuwa hujui, kazi ya kuchokonoa kwamba polisi walienda au hawakwenda ni ya Tume, na siyo ya mapaparazi. Fullstop, kama hulewi kalale mkuu. Bye.

Mkuu hoja ya kigugumizi cha makanda wa mikoa kujibu maswali ya waandishi wa Mwananchi hujajibu bado.

Pili, Hiyo inawezekana kabisa jeshini mkuu lakini huwa ina mazingira yake.Unataka kusema kwenda kusimamia amani ya watu wanaofungua ofisi vijijini (siyo mkutano wa hadhara) ili hitaji wao kutolewa kimya kimya namna hiyo. Huoni kama kuna jambo mkuu. Hivi ni mikutano ya Chadema tu, mbona Zanzibar na Bumbuli hawakuhitaji hata polisi kutoka wilaya ya jirani?
 
C.c.m imeshindwa siasa za kistaarabu imebaki kuimba wimbo wa amani bila vitendo wakati wao ndio magaidi wa kuua raia zao
 
Nikwambie tu mimi sijatukana ila mwenzio ndo kanitukana, tuje kwenye msingi, je unahabari kuwa mikutano ya CDM ina record ya kuforce maandamano na kusababisha vifo? Pili. suala la polisi kutumwa kutoka mikoa mbali mbali sioni hata kama ni hoja, kwa sababu tujuavyo polisi wako wachache na hata hivyo wametokea Tz, endapo wangetokea Kenya, uganda au burundi ndo ningeshangaa, kama unakumbuka Pemba walikuwa wanatolewa askari mikoa yote Tz kwenda kulinda amani, sasa unaona ajabu ya iringa na mbeya ambayo ni pua na mdomo.? Kama polisi wametoa utumbo watu ni wapi ilishatokea kwingine kama siyo kwenye mikutano yenu ambayo mnayodai ni nguvu ya kuua ili mpate madaraka. na je unafikiri mtu akishakujeruhi unaweza kumpa nafasi tena ya kuendelea kujeruhi watu. nasema hivyo kwa sababu CDM wakiambiwa fanyeni mikutano wao wanaandama ili kukidhi matakwa yao ambayo ndo tunayoshuhudia sasa hivi. kwa hiyo mi naona ni sahihi kuwastopisha kufanya maandamanio kwa sababu wna record mbaya ya mauaji, hata kama ilitokea polisi wakaua basi ilitokea kama ajali kazini na kwa kulazimishwa na CDM. Fullstop.
Unaona wewe ni sahihi na vibaraka wenzako. Lakini nakuambia hakuna Kenge yeyote nchi hii mwenye uwezo wa kusimamisha mikutano ya CHADEMA. Mikutano itaendelea kwa nguvu zaidi ya umma.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom