miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,985
MziziMkavu atakutibu bila operesheni
Last edited by a moderator:
Dawa ninazo nitaweza kumtibu bila ya kufanya Operesheni akishindwa kupata hospitali nzuri nitaweza kumtibu na akapona Mkuu UtingoMziziMkavu atakutibu bila operesheni
Wadau...jirani yangu amekamatwa. Hapa Dar ni hospitali gani iliyobora kwa matibabu ya tezi dume...if muhimbili what are the contacts?
Dawa ninazo nitaweza kumtibu bila ya kufanya Operesheni akishindwa kupata hospitali nzuri nitaweza kumtibu na akapona Mkuu Utingo
Wadau...jirani yangu amekamatwa. Hapa Dar ni hospitali gani iliyobora kwa matibabu ya tezi dume...if muhimbili what are the contacts?
Nimesha kujibu soma wewecheck kasha lako la email mkuu
mara moja kwa mwaka, nenda hospital dokta anatia dole kwenye puru kuangalia kama mambo swali, wakiligundua mapema ni rahisi kutibia kabla alijaleta madhara makubwa, wanaume wenzangu hizo mila na tamaduni za kuogopa kutiwa vidole mziondoe, twendeni hospital mara kwa mara kuchunguza afya zetu
sehemu zingine sio lazima kuweka utanihuo ni ugonjwa wa maprezida na huwa unatibika kwenye hospital inaitwa john hopkins iko merryland marekani, nenda pale magogoni utaelekezwa zaidi!
Pole mkuu kwa kuuguwa hayo maradhi yako nitafute mimi dawa ninayo ya kuweza kukutibia na ukapona kabisa ukihitaji dawa yangu nikutibie wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.MawasilianoWakuu habari hapa, naombeni msaada wa ushauri, mimi nasumbuliwa sana na infection ya tezi dume, ni miaka saba sasa anti biotics hazijasaidia, ni kama inakua imevimba kdg, vipimo vilionyesha sio kansa au sio ile tezi dume kama ya wengine, kwa kawaida anti biotic ilitakiwa ifanye kazi. Hapa ni maumivu on a Daily basis, kwenye korodani, kwenye makalio, kwa mwenye ushauri ntashukuru
mzizi hii ni kweli kakaProstate glands(matatzo ya kibofu cha mkojo) imekuwa ikisumbua wanaume wengi sana.Baadhi ya tiba zake ni TIBA YA HOMONI,UPASUAJI N.K.Madhara yanayo mpata mtu kwa upasuaji ni,kupoteza damu nyingisana,mwili kuwa dhaifu kwa mda,kutolewa tezi,kupungua kwa nguvu za kiume,pia husababisha kifo kwa watu walio na presha.Kiukweli unapofanyiwa upasuaji wa tezi unakuwa unapoteza kiungo mhimu katika mwili,maana kazi ya tezi ni kutengeneza majamaji yanayobeba shahawa.je tezi zikitolewa mtu huyo anakuwa na haligani kwa upande wa kizaz???Nina dawa inayotibu matatzo hayo ya tezi,ni dawa nzurisana ya mitishamba kwa aliye na tatyo hili anitafuta kama anaitaji tiba.iwe mkojo unatoka kidogokidogo,mfululizo,hata kama mgonjwa anacatheta miaka mingapi atapona.kama kuna mtu alisha fanyiwa upasuaji na tatzo likajirudia tena mwambie askate tamaa dawa zipo na zinatibu.kwa meng zaid ntafute.0759217720