Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Jipatie kirutubisho
f7a4efc9707dc93b59a07a5a5bed0f3e.jpg
kilichothibitishwa kimataifa usihangaike na tezi dume. (PROSTATE CANCER)
Ugonjwa huu umekuwa katika nafasi ya 3 duniani katika kusababisha vifo vya wanaume.
Kwa takwimu za 2012 ugonjwa wa tezi dume umesababisha vifo vya watu 300700.
Upimaji wa ugonjwa huu ni mgumu na mwanaume yeyote asingependa kupimwa kwa style hiyo.

TEZI DUME NI NINI???
Ni ile hali ya chembe chembe za uhai katika tezi la kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalozunguka mirija ya kupitisha haja ndogo( mkojo)
Ugonjwa huu kwa sasa unaweza kuwapata vijana wa kiume kuanzia miaka 25 na kuendelea tofauti na awali ilikuwa miaka zaidi ya 50.

DALILI ZAKE.
Mfumo wa mkojo kuharibika,
1.Kukojoa Mara kwa mara.
2.Haja ndogo haitoki wakati wa kukojoa
3.Maumivu makali wakati wa kukojoa.
4.Kushindwa kurusha mkojo Mbali.
N.k

MADHARA
Mkojo unarudi juu kwenye figo na kuharibu figo.
KUSHINDWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA. Tatizo hili maana linasababishwa na ulaji mbaya hasa nyama nyekundu na zenye mafuta pamoja na watu wenye uzito mkubwa wako hatarini kupata tatizo hili.

Ndugu ugonjwa huu unaua hata wenye uwezo wa kifedha maana ni hatari sana chukua tahadhari sasa pia msaidie yoyote aliye karibu nawe kujua umuhimu wa dawa yetu prostrelax, kwan ina uwezo wa kudhibiti na kutibu dalili hizo.
 
Nina rafiki yangu korodani moja kubwa moja ndogo mabadiliko ya koradani zake yalianza toka akiwa mdogo lakini asikii maumivu wala dalili zozote za mabadili swali utakuwa ni ugonjwa au ni hali ya kawaida TU ?
 
Nina rafiki yangu korodani moja kubwa moja ndogo mabadiliko ya koradani zake yalianza toka akiwa mdogo lakini asikii maumivu wala dalili zozote za mabadili swali utakuwa ni ugonjwa au ni hali ya kawaida TU ?
Yap ni ugonjwa huo mwambie akacheki ultrasound waone iko wapi labda haijashuka hiyo. Tatizo huwapata sana watoto wadogo hugundulika punde tu wanapozaliwa.
 
Apana ni muziki! !!!shwaini weee watu wanajadili mambo ya msingi unaleta Bangi.
Acha upumbavu mjinga wewe sijauliza kwa kejeli,

Na hakuna ugonjwa unaoitwa tezi dume mjinga wewe

Kila mwanaume ana tezi dume sasa mimi nimeuliza makusudi tu kwa lengo la kuelishana na wewe unakuja na habari zako za kibashite hapa
 
Acha upumbavu mjinga wewe sijauliza kwa kejeli,

Na hakuna ugonjwa unaoitwa tezi dume mjinga wewe

Kila mwanaume ana tezi dume sasa mimi nimeuliza makusudi tu kwa lengo la kuelishana na wewe unakuja na habari zako za kibashite hapa
Ungekuwa na nia ya kuelimisha ungeenda moja kwa moja kwenye Dalasa. .....kenge mma weee! !!!
 
Yap ni ugonjwa huo mwambie akacheki ultrasound waone iko wapi labda haijashuka hiyo. Tatizo huwapata sana watoto wadogo hugundulika punde tu wanapozaliwa.
Na tibia yake inakuwa kama ipi maana yeye kama nilivyo kuambia kwamba korodani zimetofautiana kwa ukubwa sasa utibika kwa oparesheni au dawa za kawida maana ni mika sasa anaishi hivyo kwa mazoea na anachukulia kawaida kwakuwa aimlete madhara
 
Duuh! Asante mleta uzi.. Kule kanda ya ziwa kwa wafugaji, ugonjwa wa tezi dume ni common, kumbe maziwa ndo culprit !
 
Kuna mahali naona umesema maziwa yanasababisha pia kansa ya titi.. Kama ndivyo ina maana maziwa ni aina nyingine ya sumu, hayafai kwa jinsia zote. Na nyama nyekundu pia hazifai. Kumbe bac ni dili kuwa vegeterian tu, hakuna jinsi
 
UGONJWA WA TEZI DUME

Tezi Dume (Prostate gland)
Ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (rectum) na na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na uume (urethra).

Mojawapo ya kazi za tezi dume ni kutoa majimaji yanayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) wakati wa kilele cha tendo la ngono. Mchanganyiko huu wa mbegu pamoja na majimaji hayo hufanya shahawa (semen). Aidha majimaji hayo husaidia kuzipa mbegu za kiume nguvu ya kusafiri kwenye uke mpaka kufikia kwenye mirija ya fallopian tayari kwa utungisho na yai la kike. Vilevile husaidia kupunguza hali ya kitindikali iliyopo katika uke, ambayo kama isiporekebishwa, huweza kuua mbegu nyingi za kiume na kufanya utungisho kuwa wa tabu.
_
_Kuvimba Tezi Dume (BPH)_ _
Kwa kadiri mwanaume anavyozeeka, ni jambo la kawaida pia kwa tezi dume kuongezeka ukubwa na kuvimba. Hali hii kitabibu huitwa Benign Prostate Hyperplasia au wengine hupenda kutumia maneno Benign Prostate Hypertrophy kwa kifupi BPH. Kwenye makala hii tutautumia sana ufupisho huu wa BPH ili kurahisisha mambo.

Ukuaji wa tezi dume hupitia hatua kuu mbili. Hatua ya kwanza hutokea kipindi cha balehe wakati tezi dume linapoongezeka ukubwa na kuwa mara mbili ya lilivyokuwa hapo awali. Baada ya hapo ukuaji husimama kwa muda mpaka kijana anapofikisha miaka 25 hadi 30 ndipo hatua ya pili ya ukuaji huanza tena. Ukuaji huendelea kwa viwango na kasi tofauti kati ya mtu na mtu na hatimaye kusababisha
BPH katika umri wa utu uzima.

Wakati tezi dume linapokua na kutanuka, utando wa tishu unaozulizunguka hutanuka pia. Hata hivyo ingawa tezi dume huendelea kukua, hufikia wakati utando wake huacha kutanuka na kufanya tezi dume kubana mrija wa kutolea mkojo kutoka kwenye kibofu. Hali hii husababisha kibofu cha mkojo kuwa na ngozi ngumu. Hali hii hufanya kibofu cha mkojo kuhisi kutaka kutoa mkojo nje hata kama kiasi cha mkojo ndani yake ni kidogo sana. Hufikia wakati, kibofu huwa dhaifu na kupoteza uwezo wake wa kuhisi kutoa mkojo na hivyo kufanya mtu anapokojoa kushindwa kutoa mkojo wote na badala yake hubakiza kiasi fulani cha mkojo kwenye kibofu.

*BPH husababishwa na nini?*
Chanzo halisi cha BPH au vihatarishi vyake (risk factors) havijulikani kwa uhakika. Kwa muda mrefu imekuwa ikichukuliwa kuwa BPH hutokea kwa wanaume watu wazima na wazee tu. Aidha imewahi kuonekana huko nyuma kuwa PBH haitokei kwa wanaume ambao wamewahi kufanyiwa operesheni ya kuondoa korodani au wale ambao walizaliwa bila korodani. Hali imepelekea baadhi ya watafiti kuamini kuwa BPH ina uhusiano mkubwa na umri wa mtu pamoja na uwepo wa korodani.

Kwa kuhafifisha hali hiyo chukua khulinjani kijiko kimoja kwa maji moto kikombe kimoja kutwa mara 3.

Sulayman Sangida
 
Back
Top Bottom