Ok...Kulala na nguo ni ushamba
(Jinsi, mashati, sijui sketi)
Lakinia
kwa upande wa wanawake
Tuna night dress ambozo ukivaa
ni kivutio kwa mwanaume..
..
Mimi naona
kulala na nguo za usiku
ni chaguo la mtu ..
usema ukweli saa nyingine is not
About impressing someone but feel comfortable..
aaaaahhhhhhhh mie changu kipande cha khanga moja ya mchina tu!!! kwishiney
mchana nibanwe na usiku pia loh!!
Zina raha yake bana kwanza huwa zinaonyesha mwili mzima, then zinateleza fulani hivi (hiyo ni mimi lakini)
hehehe AD bana, skuulizi bana! najua ka night dress kako umekapeleka laundry leo.Naomba KLOROKWIN
Asiniulize swali kuhusu
hii topic..
mmmhhh
aaargh! wewe wa wapi?, night dress linapandisha mzuka bana! akikujia peku peku na midubwana inaning'inia kifuani utazani viloba vya kolosho si unaweza ukatokea dirishani kwa uwoga. halaf pia unapata ka bonus ka kumvua ambako pia kuna ka utamu wake. hivi tuko jukwaa la MMU au la wakubwa?
Mwanaume haitaji kuvaa night dress....!! ni bukta au boxer basi!Hivi wanaume nao wavae ili wavutie, au wanawake tu?
hehehe AD bana, skuulizi bana! najua ka night dress kako umekapeleka laundry leo.
acha tubalance basi, na wanaume inabidi wavae mapajama sio wanawakabili wenza wao na midubwana inaning'inia kama mezani ilokufa spiringi. usiku lazima ukuwe romantik bana.Jamani mbona tunashushiana self-esteem arifu?????