Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

fellow tablet huyo jamaa habari zisizo rasmi zinasema walimdaka border la zimbabwe anauza zahabu feki, sasa sjui kama ataluudi tena JF
Asijekuwa anaokota shanga akidhani dhahabu.......watamcheka kina Lizzy na AD.

Loliondo hakuna zali babu. Kule ni genye free zone...
Hili angalizo...kwa hiyo unapiga kavu, unawahi kikombe fasta!

Yani ukipata ngoma hapo hata babu hawezi kutibu!
Babu anatibu magonjwa yote, ikiwemo ngoma....you have been notified!
 
Niliambiwa na "WAKWERE" kuwa mwanamke akiolewa hastahili kulala na nguo! Sijui night-dress ni skin-dress au dress-dress?
 
Heee, Afrodenz vipi, mbona hiyo signature yako imenishtua, tukumbushane bac kidogo au vipi?

Hiyo signature
iache tu mpenzi
kwa sababu bado hata wiki hijaisha
Tangu nikubwe...
Nilicho gundua inauma
zaidi ikitokea kwako..
 
halaf samtaimu kule fesbuk anajisahau anaweka sheria za JF, wee tembelea profile yake uone. (nikipigwa ban naomba unianzishie sredi)

Hahahah
tutakunywa
wote kikombe hichi
Cha hukumu usijali
thread utapata ..
tutamwomba invi arudi
Huku ili watu wasichafue hiyo thread..
Au Dena anatosha hahahahahahahah lol
 
Hahahah
tutakunywa
wote kikombe hichi
Cha hukumu usijali
thread utapata ..
tutamwomba invi arudi
Huku ili watu wasichafue hiyo thread..
Au Dena anatosha hahahahahahahah lol
Mbona unapenda kuandika style hii ya "kipiramidi"? some times nakua sielewi unachoandika!
 
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...

Unataka ikisimama wewe nikumega tu
 
Mbona unapenda kuandika style hii ya "kipiramidi"? some times nakua sielewi unachoandika!

Daahh
samahani mkuu
Ni mazoea tu mmhh
sasa hapo huelewi nilicho
Andika au huelewi maandishi yalivyo?
 
...ohh, wengine tukisjajifunga msuli, na mamie khanga aah, shwari kabisa na joto hili la Dar.
 
Back
Top Bottom