Akijibu maswali kwa ufasaha na kumuelekeza jinsi muswada ulivyofanyiwa marekebisho mheshimiwa Habib Mnyaa alimuonya mh Tundu Lissu kuacha tabia yake ya kudharau serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwa ni maamuzi ya wanainchi wenyewe wa zanzibar, Mh Tundu akiendelea na propaganda zake za kila siku zilizo chuja za kusema CUF ni CCM B, ambapo aliulizwa je? ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu.
Tundu haitaji kujibu swali hilo kwa kuwa ni mwanasheria anayejua maswali kama hayo yanajibiwaje. Tanzania hatuna katiba inayoruhuhu kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa. Labda Mnyaa ajitahidi kupiga debe iwekwe kwenye katiba inayokuja.Akijibu maswali kwa ufasaha na kumuelekeza jinsi muswada ulivyofanyiwa marekebisho mheshimiwa Habib Mnyaa alimuonya mh Tundu Lissu kuacha tabia yake ya kudharau serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwa ni maamuzi ya wanainchi wenyewe wa zanzibar, Mh Tundu akiendelea na propaganda zake za kila siku zilizo chuja za kusema CUF ni CCM B, ambapo aliulizwa je? ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu.
"ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu."
Kama si kubwagwa huko ni nini?
Kumbe Zanzibar walikosa hata 5% ndiyo maana hawawapendi wa Zanzibari, nilikuwa sijui kisa.
Siasa za Tanzania ni za ushabiki wa Yanga na Simba bila kujali uhalisia wa mambo.Akijibu maswali kwa ufasaha na kumuelekeza jinsi muswada ulivyofanyiwa marekebisho mheshimiwa Habib Mnyaa alimuonya mh Tundu Lissu kuacha tabia yake ya kudharau serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwa ni maamuzi ya wanainchi wenyewe wa zanzibar, Mh Tundu akiendelea na propaganda zake za kila siku zilizo chuja za kusema CUF ni CCM B, ambapo aliulizwa je? ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu.
chadema bado ni Wachanga mno kisiasa huko wanapopita leo CUF waliisha pita miaka 10 iliyopita,
"ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu."
Kama si kubwagwa huko ni nini?
Kumbe Zanzibar walikosa hata 5% ndiyo maana hawawapendi wa Zanzibari, nilikuwa sijui kisa.
Kudoz Shiekh Mnyaa.. Chademu wamevuna walichopanda kwa kutuletea dharau watu wa Visiwani na sasa kila ntu anajua UHUNI wa hii NGO feki. Na natarajia ofisi ya Usajili wa Vyama vya Siasa ifanye ukaguzi kubaini kama kweli wanao wanachama kule visiwani kama mujibu wa sheria unavohitaji, la basi hakina budi kufutwa kama sheria yetu tulizokubaliana zituongoze zinavosema.
Asilimia 80 iliyokataa vyama vingi ndiyo hiyo hyo inayoipa CCM asilimia 80 ya bunge miaka ishirini baadaye.nyerere hakuheshimu maoni ya wengi wakati wa kuanzishwa kwa vyama vingi. Wananchi wengi walisema wanataka chama kimoja. Lakini nyerere yeye alisema hapana tuchukuwe maoni ya wachache, ndiyo maana kuna vyama vyingi leo. Angeng'ang'ania demokrasia siasa za tanzania zingekuwaje leo?
Sio katika kila jambo watu wengi ndio wako sahihi.
Mimi ni kati ya watu wanaofurahishwa na misimamo ya Lisu kwenye mambo anayoyaamini. Lakini kauli zake dhidi ya zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikinisikitishwa, amekuwa na kauli zinazokusudia kuvunja nchi. Ninavyofahamu mimi wananchi wa Tanzania kutoka pande zote za muungano hawana vikwazo vyovyote inayotokana na muungano kuwafanya waione kama kero. Kama watanzania wa kawada hawana tatizo na muungano, hiyo ajenda ya Lisu ya muungano na wazanzibari ameutoa wapi?kuna watu nyuma yake?kama ndivyo ni kina nani na hii ajenda ni kwa maslahi ya nani?
Napata wasiwasi