TIMING JF-Expert Member Apr 12, 2008 24,829 11,204 Nov 21, 2011 #361 kwani bendera za kafu zinaweza chochote?
T tweve JF-Expert Member Jan 23, 2011 694 146 Nov 21, 2011 #362 mkigoma said: uwongo mwingine ni wa kijinga kabisa, Tundu ameshindwa vibaya na Mnyaa, unakuja kumnusuru huku jamii forum acha ujinga wako. Click to expand... alichoshindwa lissu pale ni kipi? Kwanini usiwe mkweli ili ueleweke
mkigoma said: uwongo mwingine ni wa kijinga kabisa, Tundu ameshindwa vibaya na Mnyaa, unakuja kumnusuru huku jamii forum acha ujinga wako. Click to expand... alichoshindwa lissu pale ni kipi? Kwanini usiwe mkweli ili ueleweke