Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,150
16,137
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali.

Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi za ajabu.

Leo hii CCM mnataka mdahalo kwa lipi kwa miradi gani mliokamilisha inayoweza kuwapa jeuri, nchi inakwenda mrama nchi haieleweki.

Naona ni kwenda kutia aibu na kujibu ya majibu yetu pendwa kamuulize mama yako. Ushauri fanyeni mdahalo 2025 ikiwa mmeshakamilisha mengi lakini kwa sasa CHADEMA hana cha kupoteza kesha poteza ila CCM na viongozi wake pia hakuna cha kujivunia ndani ya miaka 2 ni kupuyanga tu kusiko na tija wala muelekeo.

Kifupi CCM bado hakuna la kusema!

Pia soma:
 
Ushauri fanyeni mdahalo 2025 ikiwa mmeshakamilisha mengi lakini kwa sasa Chadema hana cha kupoteza kesha poteza ila CCM na viongozi wake pia hakuna cha kujivunia ndani ya miaka 2 ni kupuyanga tu kusiko na tija wala muelekeo.
Kifupi CCM bado hakuna la kusema!
Hata hiyo 2025 ccm hawatokuwa na majibu yoyote kama kawaida yao
 
Huyo wa mdahalo yu wapi?hawa kamuulize mama yako nitampasua mtu!
Actually,
Hakuna upande wowote wenye uwezo kufanya mdahalo ukastahimili na kuvumilia kurusha kiatu, kiti au kuvunja meza humu nchini kulingana na very low capability ya kudhibiti hisia na ghadhabu za hoja kinzani 🐒

Hata na hivyo, ni lazima kujiridhisha kama huo uwezo wa kuvumiliana upo ama laa kwa kuruhusu midahalo chini ya ulinzi mkali...
 
Hivi CCM inataka mdahalo au ndombolo?Yaandaliwe na maji ya kunywa mengi kwenye ndoo.Vichupa vya dukani havitatosha.
 
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali.

Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi za ajabu.

Leo hii CCM mnataka mdahalo kwa lipi kwa miradi gani mliokamilisha inayoweza kuwapa jeuri, nchi inakwenda mrama nchi haieleweki.

Naona ni kwenda kutia aibu na kujibu ya majibu yetu pendwa kamuulize mama yako. Ushauri fanyeni mdahalo 2025 ikiwa mmeshakamilisha mengi lakini kwa sasa Chadema hana cha kupoteza kesha poteza ila CCM na viongozi wake pia hakuna cha kujivunia ndani ya miaka 2 ni kupuyanga tu kusiko na tija wala muelekeo.

Kifupi CCM bado hakuna la kusema!
Waliokuwa wanakwepa midahalo huko ccm ni wenye akili, Mkapa aliweza mdahalo maana alikuta kizazi cha mwisho mwisho Cha ccm. Hawa wengine wamekutana na kizazi Cha kuhoji na kupima hoja na sio zidumu fikra za mwenyekiti. Huyo muhalifu mpanda punda, anataka mdahalo Ili kupata platform ya kujisafisha maovu yake.
 
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali.

Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi za ajabu.

Leo hii CCM mnataka mdahalo kwa lipi kwa miradi gani mliokamilisha inayoweza kuwapa jeuri, nchi inakwenda mrama nchi haieleweki.

Naona ni kwenda kutia aibu na kujibu ya majibu yetu pendwa kamuulize mama yako. Ushauri fanyeni mdahalo 2025 ikiwa mmeshakamilisha mengi lakini kwa sasa Chadema hana cha kupoteza kesha poteza ila CCM na viongozi wake pia hakuna cha kujivunia ndani ya miaka 2 ni kupuyanga tu kusiko na tija wala muelekeo.

Kifupi CCM bado hakuna la kusema!
Mitaani hii tunaita Kuweka mpira kwapani , ni heri lawama kuliko fedheha , Ushauri wako ni muhimu ukazingatiwa , na isiwe 2025 iwe milele
 
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali.

Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi za ajabu.

Leo hii CCM mnataka mdahalo kwa lipi kwa miradi gani mliokamilisha inayoweza kuwapa jeuri, nchi inakwenda mrama nchi haieleweki.

Naona ni kwenda kutia aibu na kujibu ya majibu yetu pendwa kamuulize mama yako. Ushauri fanyeni mdahalo 2025 ikiwa mmeshakamilisha mengi lakini kwa sasa Chadema hana cha kupoteza kesha poteza ila CCM na viongozi wake pia hakuna cha kujivunia ndani ya miaka 2 ni kupuyanga tu kusiko na tija wala muelekeo.

Kifupi CCM bado hakuna la kusema!
Kama kweli mnatenda twende na mdahalo wananchi tupo pamoja tunasubori. Miaka 60 plus ya uhuru wananchi bado mwacheza nachi. Majuha nyie
 
Mdahalo sio maswali ya mchongo ya kubwabwaja peke yake kwenye vipaza vya online tv au magazeti ya udaku!
 
Back
Top Bottom