Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

Swali kaulizwa Tundu Lissu,
kwa nini wanatoka bungeni halafu mnachukuwa posho wakati hata kazi mliotumwa na wananchi hamkufanya?
Wamefanya kazi waliyotumwa, wamewakilisha sie tusiotaka kuburuzwa na ccm kama magari mabovu kwa hiyo wanastahili posho.
 
mnyaa anasema mambo ya msingi ya muungano yaliingizwa kinyemela.na huu ndo mda wa kuyalekebisha.
:kuhusu rwaitama.anasema kama ni ujanja wa ccm kutugombanisha ni kweli lakini ujanja huu wamefanya ccm kupitia chadema.sisi tulipokuwa Bungeni tuliwashilikisha wote lakini wao wanatubagua.hii ishajenga konflict tayari ya kutokuelewana baina ya vyama so wa kulaumiwa ni chadema sio ccm.mdahalo umeisha.mlikuwa na mimi reporter wenu sir figganigga.mia
Wa kulaumiwa ni CUF kukubali kuolewa na ccm, walipokuwa wanashirikiana na chadema, chadema haikuwa imeolewa na ccm kwahiyo chadema wako sahihi hawawezi kushirikiana na mke wa ccm.
 
"ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu."

Kama si kubwagwa huko ni nini?

Kumbe Zanzibar walikosa hata 5% ndiyo maana hawawapendi wa Zanzibari, nilikuwa sijui kisa.

he na wewe mwanamke uliyekosa kaba wala utu umefuata nini huku tena? Natamani kuwajua walezi wako nijue kama ukatili wako umeurithi toka kwao au ni matokeo ya maisha yako ya kishetani tu, mweeeeeee!
 
Hivi kwa nini Wazanzibari wanabembelezwa sana? Ukiongelea jambo kuhusu Zanzibar eti unaambiwa "unawadharau Wazanzibari wote!" Sasa kama Wazanzibari wamevunja Katiba ya Muungano wasiambiwe lolote?

basi tu mkuu. watu wenyewe wajinga jinga tu, kuanzia darasani hadi mtaani, basi tu. kuna wakati huwa naamini kuwa huenda ni kweli mwl alimshika masikio karume ktk issue ya muungano. waznz ni wepesi mno kiakili na mambo mengine ya maisha. na ndio maana muda wote wao huwa wanalilia favour tu ktk issue nyingi za muungano
 
Wa kulaumiwa ni CUF kukubali kuolewa na ccm, walipokuwa wanashirikiana na chadema, chadema haikuwa imeolewa na ccm kwahiyo chadema wako sahihi hawawezi kushirikiana na mke wa ccm.

Soon mtaacha huu msamiati wa kuoa na kuolewa (lakini nitawakumbusha siku hiyo)

Soon viongozi wenu watakaa na ccm na kukubali kuolewa just wait n see
 
Soon mtaacha huu msamiati wa kuoa na kuolewa (lakini nitawakumbusha siku hiyo)

Soon viongozi wenu watakaa na ccm na kukubali kuolewa just wait n see

Heeeee!!!!! If you are waiting CDM Ifanye kama Mnyaa na wenzake wanayofanya..... (sitaki kutumia lugha hileee...)
You will wait for so long........!!!!!

Kusema eti uliungana na CCM kwa sababu ulipoteza watu wengi.....!!! Mbona wakati wa Mapinduzi walipotea wa-Zanzibar lundo.... Mliungana na Sultani.....????

CUF angalia mlijikwaa wapi; kuna kitu nadhani hamkioni..... MMETEGEWA MTEGO ..... MNATUMIKA BILA KUJUA..... Wake up.... and fight for people not interests....!!!
 
Soon mtaacha huu msamiati wa kuoa na kuolewa (lakini nitawakumbusha siku hiyo)

Soon viongozi wenu watakaa na ccm na kukubali kuolewa just wait n see


Mkuu Tropical, mwanadamu ameumbwa na kusahau.....endapo utasahau kuwakumbusha, basi mei nitafanya hivyo!
 
Kuna tetesi kuwa vijana wa ccm walitinga ukumbini kwa lengo la kufanya vurugu kwa ajili ya kutibua hoja nzito za Tundu ili zionekane kuwa ni pumba. Hii pengine ina ukweli ndani yake kwani mara kwa mara zilisikika kelele kutoka upande wa wafuasi wa CUF jambo ambalo si la kawaida sana kutokea kwenye midahalo. Naoina ndoa ya CUF na CCM kwa mtindo huu, haina taraka.
 
Hayo yanawezekana kwani hao ni mume na mke kwa hyo mume kumsaidia wakati wa matatizo ni kawaida kabisa
 
http://www.mjengwablog.com/

kifupi mambo yalikuwa hivi





Mjadala mkali wa katiba unaendelea sasa hivi.Kuna Tundu lisu na Habib Mnyaa wanaongelea yaliyojiri na tunakoendelea.(Hatukupata picha ya Habib Mnyaa.)


UPDATES
Mjadala umekuwa mkali pale Lissu aliposema kuwa Cuf wameacha hoja zao hata kuhusu serikali tatu baada ya ndoa yao na CCM.Cuf wamekuja juu ikabidi Mtatiro awatulize wafuasi waliopata jazba.sasa ni wasikilizaji wanauliza maswali


Mnyaa ameulizwa ni maoni gani walitoa wazanzibari wakati wa mchatato wa kwanza ilhali waliuchana hata muswada wenyewe
JIBU
Anasema walitoa kupitia wawakilishi na yeye alitoa maoni bungeni kwa ajili ya wana mkanyageni.pia wananchi hawana uelewa wa hayo mambo hivyo yeye anayejua amewawakilisha.


Tundu LISU
SWALI;kwa nini hakutoka kwenye kamati anasubiri kutoka bungeni?
JIBU
Alitaka kujua hujuma inayofanywa
Kuhusu posho amesema huwa zinawekwa kwenye akaunti mtu awepo au asiwepo
Kuhusu kama hayo ni maoni ya chadema tu?
anasema kuwa ukweli wa mungu haya ni maoni ya chadema.anakumbusha uchakachuaji uliofanyika kwenye kanuni ili kambi rasmi ya upinzani iingize pia vyama vingine
Nini watafanya sasa?
lisu ansoma vifungu vya kanuni.kwa nini walitoa hotuba? ili kuelezea ubovu wa mchakato.
Chadema imepata nini? wametukanwa, lakini watukanaji hawakujibu hoja hata moja.wananchi wamejua nani ameshirkiana na CCM.
kUHUSU kama alipewa hela ili atoke na CCM wapitishe mambo yao lisu anasema;mimiTUNDU LISU nASEMA sijawahi kuhongwa na sijawahi kuombwa kuhongwa.ila ukitaka kujua aliyehongwa angalia nani anaunga mkono mambo ya wanaoohonga




UPDATES
SWALI KWA WOTE
ktk rasimu kuna hoja ya uwakilishi na zbar wanaingia kama nchi.sasa watanganyika wanawkilishwa na nani
LISU;bungeni ililetwa hoja kuwa wabia wa muungano wawe sawa.hihi chadema tukasema inamaanishatanganyika imerudi.cuf baada ya ndoa hawaoni tena .
Mnyaa;cuf watu wameuawa hivyo kimebadilika kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu.
kuhusu tanganyika anasema bunge la katiba litakuwa na uwakilishi wa tanganyika
SWALI
Dr LWAITAMA
Je wazungumzaji mnakubali kuwa hoja inabeba chembe za kuondoa CCM, si kweli kuwa CCM inagombanisha watu ili mchato uharibike?
LISU
CCM inatumia hila siku zote kuongeza masuala ya muungano kama ilivyofanya kwa muswada huu. CCM inaweza kupandikiza mgogoro. hivyo katiba mbovu itakayokuja ni ya CCM na CUF
MNYAA;
masuala ya muungano yaliingizwa kinyemela.hivo mabadiliko ya katiba ni fursa.kuhusu kugombanishwa si ujanja wa CCM bali Ujanja wa CHADEMA.
Mdahalo umemalizika ghafla kwa sababu za muda.hakuna majumuisho ya jumla toka kwa main speakers.
 
Mara nyingi CCM huvaa bendera za sasa CUF ! Na wao hutinga kofia na Tshirt za waume zao. Hii ndoa ni balaa
 
Kuna tetesi kuwa vijana wa ccm walitinga ukumbini kwa lengo la kufanya vurugu kwa ajili ya kutibua hoja nzito za Tundu ili zionekane kuwa ni pumba. Hii pengine ina ukweli ndani yake kwani mara kwa mara zilisikika kelele kutoka upande wa wafuasi wa CUF jambo ambalo si la kawaida sana kutokea kwenye midahalo. Naoina ndoa ya CUF na CCM kwa mtindo huu, haina taraka.

A Rose flower will smell Rosier, what so ever name you call it. Tundu Lisu is a Rose flower, inteligent, higfh power of reasoning, whaterver bad names CCM/CUF will call him he will remain superior to them
 
Inaonekana umesahau ulichokuwa unasupport, pitia vizuri all the posts you replied then you'll see why I say we dont need your votes.
U won't be bcoz u won't be existing, eerrr, I mean Chademu. Kasome kwanza katiba inasemaje kabla ya kukurupuka kama kawaida yenu.
 
uwongo mwingine ni wa kijinga kabisa, Tundu ameshindwa vibaya na Mnyaa, unakuja kumnusuru huku jamii forum acha ujinga wako.
 
Yap wanaJF mdaharo ndo unaanza kwa Baruanı mhuza kumkarıbısha Tundu Lısu,Mbunge wa Mkanyagenı(Mnyaa) na mıss Mwakıtwange!
Tuendelee kujuzana!

Hivi huyu Rosemary Mwakitwange ni miss.....
 
uwongo mwingine ni wa kijinga kabisa, Tundu ameshindwa vibaya na Mnyaa, unakuja kumnusuru huku jamii forum acha ujinga wako.

Ameshindwa nini sasa. Manake mi niliona Mnyaa anajiuma uma tu. Inamaana CUF/CCM mlikosa kabisa mtu wa kumpambanisha na Lissu?
 
Back
Top Bottom