Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

Yap wanaJF mdaharo ndo unaanza kwa Baruanı mhuza kumkarıbısha Tundu Lısu,Mbunge wa Mkanyagenı(Mnyaa) na mıss Mwakıtwange!
Tuendelee kujuzana!
 
Mwenyekiti anasema wajadil kwa aman,anasema hii ni njia pekee ya wabunge kuanza na wapga kura,anaanza kuulza maswal
 
Mwnykt(R.Mwakitwange): Kombani na Mwanasheria mkuu walitoa udhuru.
 
Mwnykt(R.Mwakitwange): Kusomwa mara ya 1 au 2 kuna maana gani?
 
Swal,2meshangazwa na mjadala wa muswada wa katiba kupelekwa mara ya pili,kuna tofaut gan kat ya mara ya kwanza na pil
 
Tundu anasema sheria iliyopitishwa ni muhmu kuliko sheria yeyote,inatakiwa ikusanye busara ya wananchi
 
Mnyaa nilikuwa namheshimu sana zamani...huyu jamaa pamoja na unazi wake wa kizanzibar, yupo vizuri. Problem ni baada ya ndoa....kwisha kabisa.
 
Tundu Lissu: Hii ni sheria muhimu sana kuliko sheria nyingine inayoweza kutngwa na bunge la sasa na hivyo ilipaswa kushirikisha wananchi. Kusoma mara ya kwanza maana yake mswada umechapishwa kwenye gazet la serikali na kupelekwa bungeni kwenye kamati husika na hatimaye kwa wananchi kabla ya kujadiliwa na bunge. Kulingana na maoni ya wananchi, kamati inaweza kutoa mapendekezo yatakayoifanya seriakli ifanye marekebisho.
 
Kabla muswada kusomwa mara pili inatakiwa maoni ya wananchi yamechukuliwa,unaposomwa mara ya pili ni majadiliano ya wabunge
 
T L: Kusoma mara ya 1 kunafungua mjadala wa wananchi na kusoma mara ya 2 kunafungua mjadala wa wabunge.
 
Back
Top Bottom