Tundu Lissu: Hii ni sheria muhimu sana kuliko sheria nyingine inayoweza kutngwa na bunge la sasa na hivyo ilipaswa kushirikisha wananchi. Kusoma mara ya kwanza maana yake mswada umechapishwa kwenye gazet la serikali na kupelekwa bungeni kwenye kamati husika na hatimaye kwa wananchi kabla ya kujadiliwa na bunge. Kulingana na maoni ya wananchi, kamati inaweza kutoa mapendekezo yatakayoifanya seriakli ifanye marekebisho.
unahusu hizi sheria za marekebisho ya katiba zilizopitishwa na ccm je nini maana yake na una makosa gani kwa kusomwa kwa mara ya kwanza au kwa mara ya pili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.