Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

Mnyaa,mfumo wa zanzibar ni chaguo la wananchi,anasema cuf ni chama cha wapinzan kwny bunge la jamuhur
 
Lissu, muswada umeletwa bungeni tarehe 5 NOv.

Mnyaa anaweka sawa mambo,kuwa CUF ni chama cha upinzani.
 
Lissu, bunge ni la wananchi lkn ni la vyama vya siasa vilevile.
 
Mnyaa: Mfumo wa serikali uliopo znz ni chaguo la wananchi. CUF ndio wanaoongoza upinzani. Upinzani sio kupinga kila kitu.

TL: Bunge limechaguliwa na wananchi, ingawa waliochaguliwa ni wanachama wa vyama vya siasa. Kuhusiana na znz, muungano huu ni wa kulazimisha. Ni wakati muafaka kwa waznz na watanganyika kuamua kama wanataka kuendelea na muungano.
 
Tundu anaongea kisheria,hili ni bunge la wananch na ni bunge la vyama vya siasa,chadema wanaamin zanzibas na Tanganyika,wananchi waamue muungano gan wanautaka,ila uwe na serikal tatu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Chadema msimamo ni kuwa na serikali ya muungano yenye serikali 3!
 
Back
Top Bottom