Mmmh mkuu umekosea au kubali kosa kama ilikuwa bahati mbaya, lakini huo ni wanga wa mchana. Pili kumbe housegirl ndo anafua chupi na kutandika kitanda, mmmh pole yenu.
Badilikeni kwa kweli, nyote wawili
Mkeo mgonjwa?
Mhh vyupi vyupi. Ni ajali tu shem ila mwambie mumeo asirudie tena. Na wewe shem kwa nini unampangia dada kazi za chumbani mwenu na? Ingawa kaja hapa na tatizo lake ila limezaa kesi mpya. Why doesn't you wash ur husband's vyupi? No dada in room again
Jamani hata chupi ikionekana ikiwa mwilini bado utaambiwa umekaa uchi? Kumbe hata mtu mwingine akiishika na kuifua napo utakuwa umekaa uchi?
Ilikuwa bahati mbaya tu nami nilitania tu lakini imekuwa "inshu"
Una uhakika gani kama mke wake mgonjwa?Mkeo mgonjwa?
Siku ya tatu hatuongeni na mamsapu, nilijisahau wakati naenda job sikumaliza kufunga vizuri mkanda nikiwa chumbani, nikatoka sebuleni huku najiweka suluali sawa, ile nafika sebuleni tu dada (mtumishi wa kazi) nae yupo sebuleni anapanga chai,kumbe mamsapu nae akikuwa akitoka chumbani akashuhudia kile ambacho dada aliona na kutizama pembeni. Mamsapu analalamika kwa nini nikavalie sebuleni namwonyesha nini dada? Ilianza kama utani, duh sasa imekuwa moto baada ya kumtania mamsapu eti "eeh we, dada si kaona chupi tu ambayo anapo zifua au akiingia chumbani kutandika anaona?! Mamsapu anadai sio bure nishalamba dada, kwanini ifikie kuonyeshana nguo za ndani?
Kumbe ni nyie mnayewapa wasichana wafue nyupi zenu eeh!
Una uhakika gani kama mke wake mgonjwa?