BIN BOR
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,013
- 407
Jamaa mmoja alimuaga mke wake kuwa anatoka kwenda kununua chips. Mkewe alikuwa bafuni anaoga. Muda mfupi baada ya jamaa kutoka mkewe akasikia mlango unagongwa. Akawahi kwenda kufungua, kumbe alikuwa nirafiki wa mume wake.
Sasa yule mama alikuwa amejitanda kanga moja tu. Jamaa akamwambia "una matiti mazuri!" Yule mama akamjibu "Asante, lakini mume wangu angesikia unayoyasema sidhani kama angefurahi."
Jamaa akamjibu, "nitakupa elfu kumi ukinionesha titi moja," mwanamke akaingiwa na tamaa, na akajua kuwa itamchukua mume wake muda mrefu kurudi, basi akashusha kanga akamuonesha titi. Jamaa akampa elfu kumi na kusema, "Duh, saaaaafi sana. Ukinionesha matiti yote nitakuongezea elfu kumi nyingine". Mama hakusita tena, akashusha kanga jamaa akaangali chuchuz na kumpa elfu kumi ya pili kisha akaaga. Mama akatia ndani elfu ishirini.
Baada ya kama saa moja hivi jamaa akarudi. Kufika tu mkewe akamjulisha kuwa rafiki yake alipita kumsalimia, "Honey, rafiki yako alipita kukusalimia," Jamaa hakuonesha kustuka wala nini, akamuuliza mkewe "Vipi kuhusu pesa yangu ninayomdai, elfu ishirini; amekuachia?"