Kuonja utamu

pesa lazima itoke mana jamaa atamwambia nimempa mke wako na kwa sababu ya dili feki walocheza atokubali kuumbuka na alina ushaidi wowote so imekula kwa mke wa jamaa mlipaji kala faida kalipa deni na chabo kala kyaa
 
Hahahahahaaaaaaa!

Jukwaa hili ni kicheko tuu mpaka raha.

Kwenye siasa tulikozoea kina sisi mara udini, sijui wachaga,..............

Huku wooote "IMANI" moja
 
jamaa akienda kumdai atasema nilimpatia mkeo. ss hapo kazi ipo mama akiulizwa anasema sijapewa. ss nani mkweli hapo? mama itabidi tu aseme amepewa ili siri isijulikane kama alionyesha titi akapewa wekundu 2.
 
Mbele ya msimbazi ningempa lakini kumbuka chupi was not available because nilikuwa nimetoka kuoga chupi ya nini sasa??? Ha haha kiulaini kama unasukuma mlevi vile

Dena Amsi naomba nikutafute nina msimbazi wapya sio wale kina Makumbi Juma
 
nakataa sijapewa hela, akilazimaisha namtungia uongo kwamba alitaka kumchezea rafu rafiki yake nikaataa soo akanipooza na hiyo 20 ili nisiseme, itakula kwake!
 
nakataa sijapewa hela, akilazimaisha namtungia uongo kwamba alitaka kumchezea rafu rafiki yake nikaataa soo akanipooza na hiyo 20 ili nisiseme, itakula kwake!

We fisadi mbona hukusema nilipoingia mpaka nikuulize. kwa hiyo umelipwa 20 ukampa siyo. utanitambua mi ni nani leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom