Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,467
- 3,381
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!
Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!
Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka!
Ni dhahiri shairi kuwa, kundi la mwendazake linanguvu kubwa ndani ya chama na ndiyo maana sasa wanachokimbilia ni kuwatisha Wana CCM wenzao kwamba wasijitokeze kugombea nafasi ya urais kwa sababu walikuwa hawaamini kuwa nguvu ya mwendazake itawapiku walamba asali hawa!
Ngoja tuone!