Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

Kama ni kweli itakuwa ni mambo ya jiwe kabisa
Ni kwamba kura zao hazikutosha au kwa kifupi hawakupigiwa kura za kuwapa U_NEC, so kilichofanyika mwenyekiti akapenyezewa taarifa ndipo ile nafasi ya goal la mkono inapenyezwa na watu wakacheza na ubao, mara paap hao hapo!.
 
Hata mie sijaelewa!
January amepitwa kura mpaka na msukuma.
JamiiForums1952844558.jpg
 
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!

Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!

Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka!

Ni dhahiri shairi kuwa, kundi la mwendazake linanguvu kubwa ndani ya chama na ndiyo maana sasa wanachokimbilia ni kuwatisha Wana CCM wenzao kwamba wasijitokeze kugombea nafasi ya urais kwa sababu walikuwa hawaamini kuwa nguvu ya mwendazake itawapiku walamba asali hawa!

Ngoja tuone!
unajua alipo Edward Ngoyai Lowasa? unajua kwann wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm wanakaa kwa mikoa? ilikuwa ni nguvu ya Lowasa
unajua alipo Kingunge?
ccm siyo kama unavyo fikiria ndugu, unaweza ukawa na nguvu ukaishia kubeba vyuma tu
 
Back
Top Bottom