Musukuma Unatamani Sana Kulamba Asali Ila Hawakuamini Tena!

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,552
11,892
Umejitahidi kununua cheti cha "Udoctor" wa Heshima.
Lakini unafanya kazi ya Dakitari wa "Njaa"

Unajitahidi kurudi kwenye kundi la Walamba Asali lakini umesahau kwamba kitendo chako cha kumkacha Lowassa 2015 kihuni.
Na kujitahidi kuhamia kwa Magufuli (Ingawa nako walikuacha kwa kutokukuamini).

Kinakufanya hawa walamba Asali nao wasikuamini maana kweli huaminiki.

Na kwa Jinsi wanavyokutumia kwa sasa usidhani kwamba utafanikiwa kuingizwa kwa Walamba "Asali Team" Bali utaishia kulipwa chako na kusubiri kutumika tena Pale watakapoona kuna uhitaji wa wewe kutumika.

Wewe unakosa vigezo masharti yao hasa linapokuja suala la Tamaa binafsi.

Wewe Tamaa mbele kuliko kitu kingine.

Nakumbuka Jinsi ulivyomuingiza mjini yule Bilionea @Mbegesera wa Kahama.
Ukampiga milioni za kutosha ukimdanganya kwamba wewe utamuwekea mambo Sawa kwa Marehemu JPM.
Wakati ukijua ni Uongo na wala hukuwa karibu na JPM kwa kiwango cha kuweza kumshawishi kwa chochote.

Hili hata wewe unalikumbuka jinsi yule Mheshimiwa Mbunge na tajiri wa Msalala asiye na njaa wala fitna kama zako.

Baada ya kupata taarifa ya udanganyifu wako,alivyowahi kukupa za uso kuhusu hiyo njaa njaa yako?

Usafi wako halisi uko wapi ewe Dakta Musukuma?

Kama ni kuupata ubunge nadhani unaelewa jinsi ulivyotumia njia chafu ikiwemo nguvu ya Pesa na mengineyo ambayo tunayaacha kwa sasa!

Lakini mimi sintasahau tukio langu binafsi kuwahi kushuhudia vijana wa "Car Wash" Geita mjini.

Wakigombea moja ya gari yako ya msafara wa kampeni ilipoletwa kuoshwa.Nilipouliza kulikoni! kumbe siri ni kukagua ili kuokota mabaki ya pesa.
Ambazo walizowea kuzikuta zimebaki au kwa kudondoka jana yake usiku kwenye harakati za kusambaza rushwa kwa wajumbe na wapiga kura wako Jimboni.

Hivyo likawa maarufu kama Gari la Posho.

Sasa unamshambulia Mheshimiwa Mpina kwa kutumiwa na kundi la walamba Asali.

Maana wamechagua mtu sahihi kwa kufuata rekodi yako.

Kutokana na mambo manne makubwa.

Moja.
Ni chuki yako kwake kutokana na moja ya tukio la Basi lako lililokamatwa na Samaki haramu kutokea Ziwa Victoria.
Wakati wa kutekelezwa kwa Operesheni Uvuvi Haramu nchini.

Pili.
tunajua unavyofanya siasa za chuki na visasi pale maslahi yako binafsi yanapokuwa hatarini.

Tatu.
Nakumbuka ulivyomkalia kooni mkurugenzi wa halmashauri ya Geita kwa tuhuma Lukuki.
Ila kisa ikiwa ni kutoshirikishwa au kulambishwa Asali na mkurugenzi huyo.

Nne,
Unataka kuitumia fursa hiyo ili kunufaika na kundi la walamba Asali.aidha kwa kujumuishwa kundini moja kwa moja au kulambishwa Asali kwenye pale watakapoona kuna umuhimu wako kama sasa.

Maana pia nakumbuka unavyotumika na January Makamba kule kwenye Kamati ya Nishati.

Kwa kuwa,Kwenye teuzi huwezi maana wewe kigezo cha elimu bado ni kikwazo. hivyo umeona bora utumike kwa mdomo,ili kupata fursa za kulamba Asali zaidi.

Tunakuona na tunakusubiri tena Jimboni 2025.
 
Walamba asali wanajua matusi tu maana wameambiwa kila mbuli ale kufuatana na kama yake lakini asizidishe
 
Mh.Ingekuwa ktk iman ya dini tungeshaur mtu achutame mana kuendelea kurushiana maneno kukoleza mambo.Sa kwakuwa siasa...
 
Haya tumekupata mzee Mpina,ngoja Dr.Musukuma amalize kuvuta ganja akujibu.
 
Back
Top Bottom