January Makamba Mungu atakuona na Majibu yako jiuzulu sasa ila uchaguzi ujao bumbuli hupiti kwa wizi wa kura ulioufanya 2020

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,150
16,139
January makamba ni mmoja ya kati ya mbunge aliyekwiba kura uchaguzi wa 2015 /20 .
Hivyo january kwa wizi huo saa hii alitakiwa awe amejiuzulu na tume ya taifa iwe imetengua ubunge wake,
Takukuru iwe inamuhoji na chama chake kimpe adhabu kali kwa kumtia aibu mwenyekiti wake kuwa alishiriki wizi na hujuma za kukwiba kura na kumuweka jambazi la kura january hayo amekiri mwenyewe kuwa alikwiba kura za 2020.

Kwakua Mungu analipa hapa duniani tutarajie anguko kubwa la january makamba kama hatojiuzulu basi 2025 asitegemee kushinda kwa kua tayari amekiri yeye hapiti kihalali kama alivyotufanyia maswala ya umeme!
Hatari kubwa miaka 10 bumbuli wanaongozwa na mbunge wasie mchagua ndio maana hana uzalendo wala uchungu na nchi!
 
Uko sahihi, ila kasema kweli kuhusu dhalimu magu uchaguzi wa 2020.
 
2020 alikuwa anatembea na mganga kwa wajumbe anakupa kitita mganga anakuapisha usipompigia kura ufe yeye na dada yake mwant uchawi wao ni balaa
 
January makamba ni mmoja ya kati ya mbunge aliyekwiba kura uchaguzi wa 2015 /20 .
Hivyo january kwa wizi huo saa hii alitakiwa awe amejiuzulu na tume ya taifa iwe imetengua ubunge wake,
Takukuru iwe inamuhoji na chama chake kimpe adhabu kali kwa kumtia aibu mwenyekiti wake kuwa alishiriki wizi na hujuma za kukwiba kura na kumuweka jambazi la kura january hayo amekiri mwenyewe kuwa alikwiba kura za 2020.

Kwakua Mungu analipa hapa duniani tutarajie anguko kubwa la january makamba kama hatojiuzulu basi 2025 asitegemee kushinda kwa kua tayari amekiri yeye hapiti kihalali kama alivyotufanyia maswala ya umeme!
Hatari kubwa miaka 10 bumbuli wanaongozwa na mbunge wasie mchagua ndio maana hana uzalendo wala uchungu na nchi!
2020 January hakuiba kura, aliiba uchaguzi wenyewe.

Alipata ubunge kwa "kupita bila kupingwa". Kwenye katiba hakuna mbunge wa "kupita bila kupingwa".
 
2020 alikuwa anatembea na mganga kwa wajumbe anakupa kitita mganga anakuapisha usipompigia kura ufe yeye na dada uchawi wao ni balaa
Huo ni ulozi wa mchana kweupe.

Ikiwa mchawi ameingia bungeni, kamwe haezi kujali maslah ya aliowanunua wamchague.

Maendeleo jimboni kwake ni ushahidi tosha.
 
2020 January hakuiba kura, aliiba uchaguzi wenyewe.

Alipata ubunge kwa "kupita bila kupingwa". Kwenye katiba hakuna mbunge wa "kupita bila kupingwa".
Halafu akasimama mbele kashika Holy Quoran anaapa uongo!
 
Back
Top Bottom