Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,274
- 2,648
8*2 ina maana zaidi ya watu na machungwa,watu na machungwa ni mfano mmoja tu kati ya mamilioni ya mifano,mfano huu ni wa level ya chini sana(ni kwa darasa la 1-3 labda) uking'ang'ania hayo machungwa yako utatengeneza barier ya kuelewa hesabu,maana zero ina definition zaidi ya"hakuna kitu"
hata wagunduzi wa vitu vikubwa walianza na concerpt za chini sana. iweje wewe ambaye hata kutengeneza baiskeli tu huwez unazbeza?