hauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..
kila la heri..
Kwa habari niliyopata leo asubuhi kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba PCCB wanatoa nfasi kuanzia wiki inayoaanza jumatatu. Na interview itafanyika wiki moja baada yani kati ya jumamosi au jumatatu inayofuata ndiyo interview zitaanza. So wameshamaliza kufungua maboksi yote na kufanya shortlist.
Vodacom: Kazi ni kwenu!
sawa itakuwa ndiyo wameanza hivyo. Ni kweli interview inaweza kuanza jumamosi kama nilivyodokeza kwenye post yangu.me mbona nimeshapigiwa cmu na nimetumiwa na email jana kuwa j.mosi niende kwenye interview na hao pccb
me mbona nimeshapigiwa cmu na nimetumiwa na email jana kuwa j.mosi niende kwenye interview na hao pccb
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..
kila la heri..
p = 0.00004 x Q
Q = idadi inayotakiwa
tutajua hyo kesho Mungu akipenda..km watoa hayo majinahauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,
Mmh langu jicho nasubiri namie nione kama nna bahati au gundu
absolutely
hao watakuwa kcb na si PCCB,PCCB hawajaita mtu,na wakutumie email kwani we nani???
No katika hali ya kupeana taalialifa tu siyo lazima kulizwa. Amini nakuambia kuna watu wanajua hata maswali yatakayoulizwa ila wameuchuna tu. Wao na mimi bora nani?Nafasi zitatolewa kwenye gazeti la daily news msiwe na papara... aliepost yupo sahihi sema ajaulizwa
kitu hewani maneno yaishe check website ya pccb