Kumekucha pccb hawoooo!!!

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Kwa habari niliyopata leo asubuhi kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba PCCB wanatoa nfasi kuanzia wiki inayoaanza jumatatu. Na interview itafanyika wiki moja baada yani kati ya jumamosi au jumatatu inayofuata ndiyo interview zitaanza. So wameshamaliza kufungua maboksi yote na kufanya shortlist.

Vodacom: Kazi ni kwenu!
 
Nina maana kwamba zile nafasi zilizotangazwa zilikuwa nyingi,so ishu ni je ktk majina yaliyofanyiwa shotlisting mm au wewe 2takuwepo!
 
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..

kila la heri..
 
sidhani km wanaweza kuita watu wote hao
 
Sandakalawe, amin
mwenye kupata,apate
Kitu cha fanta,
Waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
Ndivyo itakavyokuwa..
 
Dah,japo updates ni nzuri but sometimes ishu nyingine especially kama izi zinawatia watu presha tu. It has taken too long in such a way dat,watu saiz wanataka short-list for interview and then iishe na watakaopata/kosa waendelee na issue nyingine and dat is ol. Otherwise, inaboa tu!
 
Tayar mbna watu washawapanga majembe yao..technical knw whom hyo,.tafuta chini ya carpet utapata info zote
 
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..

kila la heri..

hauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom