Kumekucha pccb hawoooo!!!

hauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,

absolutely
 
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..

kila la heri..

Toa sure probability, wanaosalia wana probability ya o.ooooooooooo9. Ambayo ni sawa na wamekosa
 
Kwa habari niliyopata leo asubuhi kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba PCCB wanatoa nfasi kuanzia wiki inayoaanza jumatatu. Na interview itafanyika wiki moja baada yani kati ya jumamosi au jumatatu inayofuata ndiyo interview zitaanza. So wameshamaliza kufungua maboksi yote na kufanya shortlist.

Vodacom: Kazi ni kwenu!

me mbona nimeshapigiwa cmu na nimetumiwa na email jana kuwa j.mosi niende kwenye interview na hao pccb
 
me mbona nimeshapigiwa cmu na nimetumiwa na email jana kuwa j.mosi niende kwenye interview na hao pccb
sawa itakuwa ndiyo wameanza hivyo. Ni kweli interview inaweza kuanza jumamosi kama nilivyodokeza kwenye post yangu.
 
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..

kila la heri..

p = 0.00004 x Q
Q = idadi inayotakiwa
 
hauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,
tutajua hyo kesho Mungu akipenda..km watoa hayo majina
 
absolutely

Kwa utaratibu wa kuita watu kwenye usaili hasa serikalini ni nafasi moja watu watatu hivyo kama nafasi hizo 250 ni kuzidisha mara tatu..hiyo na kwa usaili wa mahojiano ya ana kwa ana..wanaweza kuita watu wengi kabla na kuwachuja kwa usaili wa kuandika ili kufikia huo uwiano nilioutaja.
 
Nafasi zitatolewa kwenye gazeti la daily news msiwe na papara... aliepost yupo sahihi sema ajaulizwa
 
Nafasi zitatolewa kwenye gazeti la daily news msiwe na papara... aliepost yupo sahihi sema ajaulizwa
No katika hali ya kupeana taalialifa tu siyo lazima kulizwa. Amini nakuambia kuna watu wanajua hata maswali yatakayoulizwa ila wameuchuna tu. Wao na mimi bora nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom