Elections 2010 Kumbe ukweli ndio huuuuu, ...........................

Huyo mtoa mada karogwa? Ukiona mijitu sampuli hiyo ifuatilie utagundua si raia anatafuta sifa ili apewe uraia kirahisi.Unamuombea jk afya njema wakati imeshayumba?Wewe huna akili muulize huyu rais wako kama analala na mke wake!
 
Huyo mtoa mada karogwa? Ukiona mijitu sampuli hiyo ifuatilie utagundua si raia anatafuta sifa ili apewe uraia kirahisi.Unamuombea jk afya njema wakati imeshayumba?Wewe huna akili muulize huyu rais wako kama analala na mke wake!

Huyo mtoa mada karogwa (UMEONA EEEH KUMBE NI WW ULIYE ROGWA)? Ukiona mijitu (KUMBE WEWE NI NYANI) sampuli hiyo ifuatilie utagundua si raia (WEWE BABA YAKO SIO YULE MSOMALI WEWE UNAFIKIRI HATUKUJUI) anatafuta sifa (WEWE UNATAFUTA CHEO KWA SLAA) ili apewe uraia kirahisi (NI RAIA WALA SIHITAJI KUPEWA) .Unamuombea jk (CHAGUO LA WATANZANIA WALIO WENGI) afya njema wakati imeshayumba (WEWE MBONA YAKO HUISEMI, KIFUA UUMWACHO KILA SIKU SIO NGWE NGWE HIYO) ?Wewe huna akili (KUMBE WEWE NI MNYAMA ) muulize huyu rais wako (RAIS WETU WOTE KWA MUJIBU WA KATIBA) kama analala na mke wake (KUMBE ANALALA NA WEWE ANAKUPIGA KIPARA KILA SIKU, MTAMUU EEEEEH )
 
Hakuna ki2 kilichoniuz kama jk kuingia madarakan kwan ha2mtaki bt ndo kesha kuwa prezda 2kubali 2. Du sisiem noma yan kama jambaz basi ni yule jambaz sugu.
 
Aache kuanguka hovyo majukwaani, mwambie apunguze ngono maana afya yake mgogoro.
Vilevile apunguze safari za nje kwenda kubadilisha damu kwa kodi za watanzania.

Aache (HAWEZI KUACHA) kuanguka hovyo (WEWE MBONA UNA KIFAFA UNAANGUKA UNAFIKIRI HATUJUI) majukwaani, mwambie apunguze ngono (KUMBE WEWE HUFANYI NGONO , JOGOO HAPANDI MTUNGI, POLEE) maana afya yake mgogoro (YA KWAKO NA KIFAFA CHAKO IKOJE?).
Vilevile apunguze safari za nje (HUNA HELA ZA KWENDA ACHA HUSDA NA HIYANA) kwenda kubadilisha damu (IMEKATAZWA KWANI ?) kwa kodi za watanzania (ANA HAKI YA KUZITUMIA KWANI NI RAIS WA TANZANIA AMESHINDA KWA USHINDI WA SUNAMI).
 
Baada ya Hitimisho la leo la kuapishwa kwa Rais aliyeshinda kwenye uchaguzi Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE ( Japokuwa mgombea wa Cahama fulani hakutokea eti amesusa, ila wenzake wala yeye akisusa) , kinacho fuatia sasa ni kuchagua baraza makini la mawaziri. Na kwa vile mpaka sasa CCM ina jumla ya wabunge 186 wa kuchaguliwa ( ukiacha wale wa viti maalum) itakuwa na hazina kubwa ya kuchagua baraza bora. Tunamuombea Rais wetu afya njema aweze kulitumikia Taifa, kwani ridhaa aliyopewa na watanzania ya ushindi wa kishindo wa 61.17% (wengine wanauita USHINDI WA SUNAMI). Uchaguzi umekwisha, tusonge mbele na tugange yajayo.

Utakuwaje ushindi wa Tsunami wakati ana ridhaa ya kutawala ya 12% ya waTanzania millioni 45!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom