Shoo Gap
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 246
- 71
Kuna mdogo wangu kaomba kujiunga chuo kupitia utaratibu wa TCU. Kutokana na uwezo wa familia tulimshauri aombe zile kozi ambazo angalau zina mkopo, ingawa kuna nyingine hakuwa anazipenda. Juzi kati Mungu kafungua mlango kwani kapatikana mtu aliye tayari kumlipia tuition fee kozi yeyote Tz kwa miaka mitatu. Alinifuata na kuniuliza, afanye nini ili aweze kusoma kozi iliyokuwa interest yake kwani hayo mahitaji mengine ya shule familia haitashindwa kumlipia. Nimeshindwa kumpa jibu la uhakika, hivyo naomba advice zenu ma-great thinkers.
Inawezekana pamoja na kuchaguliwa Education let say, akabadilisha kwenda kusoma economics na akajilipia mwenyewe?
Inawezekana pamoja na kuchaguliwa Education let say, akabadilisha kwenda kusoma economics na akajilipia mwenyewe?